Wakuu salaam,
Nimejikuta nawaza laiti mahusiano tuliyonayo sasa au yalopita yangekua kitabu tungeyapa tittle gani?
Kwa upande wangu ningeyapa tittle zifuatazo
Yalopita: BOMU LA MACHOZI
Yasasa...
Waa na jamii leo naleta mada ambayo ni kero yangu na nina imani wapo wengine.
Ni kuhusu polisi na vyombo vya moto vya raia, gari na pikipiki.
Inapotokea umepata ajali au tatizo mfano umegonga na...
Waswahili wanasema Fuja Mali Kufa Kwaja, Kama kawaida Santana leo nimetua Babati Manyara, Nasikia Huku Kuna totoz za Laana.
Wazoefu nitonyeni Chimbo za Starehe zenye watoto safi wa Kimbulu.
Ova!
Habarini wakuu?
Kwa wenye ujuzi wa tafsiri za ndoto naomba tafsiri ya ndoto hii;
Ukiota uko bar eneo la kaunta unapiga kinywaji, kampani yako ni mwanamke wa kaunta. Hii tafsiri yake nini? Au...
Vijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha
Tusitafute vyeo tuache vyeo vitutafute
Tusitumikie pesa tuache pesa itutumikie.
Tusimiliki pesa Bali tumiliki vanzo vya sisi kupata pesa
Pesa Ni...
Nawasalimu wana JF!
Jiji la Dar kwasasa lina majengo mengi marefu, yenye kuvutia sana pia kufanya Jiji kuwa na muonekano mzuri. Miaka ya nyuma kidogo jengo la MAFUTA HOUSE (BENJAMIN...
Naomba tuelezane kuhusu vijiwe hivi,
Nimeshiriki vijiwe vya kahawa lakini nimeambulia kusikiliza majungu,kusemana ,na watu walikuwepo wote ni walonzi na mada zao, wabishi na kujitenga na wenye...
Dharau haziwezi kukufikisha mbali, matokeo yake utadharauliwa na kutopata msaada wowote. Ili ufankiwe unawahitaji watu na Mungu huwatumia watu wewe uende kwenye kesho yako.
Goodmorning.
KARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui...
Mke: Kwa jirani kuna nini?
Mume: Kutakua na birthday
Mke: Ya nani?
Mume: Itakua ya Tuyu
Mke:Tuyu ndio nani?
Mume: Sijui ndio nani nimesikia wanaimba "happy birthday TUYU"
Muhali gani mabibi na mababu kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji marafiki wa kuchat nao jinsia yoyote tuwe tunabadilishana mawazo mbalimbali kama kiuchumi, kijamii, kielimu,na kiroho...
Tukio siyo halisi.
Mtanzania mkazi wa Kijiji cha Kowak (a.k.a Home of Intellectuals) Wilayani Rorya Mzee Sebastian Obaso Ogutu (70) amedakwa na Polisi Migori–Suna County Kenya kwa kosa la...
Rajesh Ajay Baghwanji amekuja toka Punjab India kuja kusimamia shamba la mikonge Tanga. Alipofika alikuta viranja wa vibarua toka Songea ambao ni Hyera, Mapunda na Komba. Kufuatia ugumu wa majina...
Hakuna wanaume watoaji mapesa na wapenda sifa kama wanazo kama wa humu JF. Ukilia kidogo tu mapesa ntawataja kwa majina hapa tukianza na babu yetu mzee mwenye utoaji wa hali ya juu Asprin na mzee...
Salamu sana wana CC wote.
Leo nimekuja na ujumbe maalum kwa shangazi yangu miss chagga;
Nasikia uko kwenye pilikapilika za kufunga pingu za maisha;
Je, blanketi la shangazi ni nani kachukua?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.