Maisha ya wanachuo huwa yana Maigizo Mengi hasa kwa Dada zetu, leo nakumbuka tukio Moja la Mwaka 2010 Pale Hosteli za Mabibo za Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Block D
Nikiwa Pale Hostel ya udsm...
Kwa waliokuwa majirani zake enzi hizo hawatashangaa sana maana hata yule mke wa mwingine kipindi hicho jamaa akiwa choka mbaya sana alikuwa anamvurumishia makonde na matusi mazitomazito juu yake...
NANI JEMBE;
Nyumbani kwa mlevi, kwa nje kuna kisima kirefu
Siku moja Mume alirudi usiku amelewa top, Mambo yakawa hivi:
MME: Fungua mlango
MKE: Leo sifungui Nimechoshwa na ulevi wako
MME: Kama...
Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni 😭 ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious.
Please tuache...
Hbr ndugu zanguni wana JF?
Leo Nilikuwa nimekaa Sehemu fulani Hivi town,nikamsikia mama mmoja ni hawa wafanya biashara ndogo ndogo za kutembeza, akisemesha kuwa amebanwa sana na haja, na...
Vijana wengi ndani ya da'slam hujiita watoto wa mjini na wengi ukikutana nao popote pale wao hua ni Kama wameshamaliza Kila kitu kwenye haya maisha. Na ndani ya vichwa vyao bongo zao zimebeba vitu...
Natambua uwepo wa mabaharia wote mliosoma Kiswahili na Language kwa upande wa Olevel
Wale wa HGK, HKL, KLF, HGL
Elimu ilitulazimu kusoma baadhi ya vitabu, binafsi nilisoma kitabu kinaitwa "BARUA...
Kama ndo wewe ulipoteza fahamu ukapelekwa ICU mwezi February..
Ukafanikiwa kutoka na kupona mwezi wa nane...yaani miezi sita ulikuwa hujui
Nini kinaendelea nchi hii..
Ghafla unatazama TV ..Rais ni...
Habari zenu wakuu, hivi zile simu za zamani bado zipo madukani kweli? kama zipo kwa dar zipo maeneo gani? na pia bado wanazalisha au ndio viwanda vimekufa kabisa?
kama kuna mtu anafahamu...
Palikuwa na mtu mmoja kichaa katika kijiji fulani. Basi huyo mtu likuwa akipita na kelele sana kila siku akipiga kelele alikuwa anasema maneno haya "Ukitenda mema unajitendea mwenyewe na ukitenda...
Habariza weekend wakuu,
Natumaini mko poa kabisa. Wazo langu japo ni la kibwege, Ni kwamba mnaonaje wakuu kama tukianzisha channel (hall) ya JF kule Clubhouse?? Najua dhima kuu ya If Ni kumaintain...
Viongozi tukemee huu ujinga unaoendelea Kambini Morocco.
Ni aibu watu wazima kugombea mkorogo. Iwe ni kweli aliiba au kasingiziwa but sidhani kama ni jambo la busara.
Kambini si sehemu ya kwenda...
Wanajamvi!
Hivi umewahi ku-experience kulia kisa tu mkeo amekusema kuhusu kitu fulani? Au amekukanya kama mama amkanyavyo mtoto wake? Tuelezane ilikuwaje?
Wakuu
Ukweli lazima usemwe, Jamii forum ipo kwaajili ya wanaDaslam, watu wa mikoani wako bize na facebook
Wamikoani wachache waliobahatika kusoma elimu ya vyuo vikuu na wale waliowahi kufika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.