Good morning fellas, long time no see
Jana majira ya saa kumi nimeenda Bar fulani ambayo ni hot sana mtaani kwangu, nilikuwa na miadi ya kukutana na jamaa yangu ambaye alikuwa semina so nikawa...
Jamani nimekuwa niko nyuma sana na inaniuma sana ninapokuwa club na kwny sherehe halafu washikaji rika langu wanacheza vizuri wakati mimi najifaragua tu..
Sasa nimechoka kuwa left out na kufeel...
You really are too good to be true.My life wouldn't be the same without you,so here's to you!To your brilliance,your kindness,your strength,and your everlasting charm....I LOVE YOU SO MUCH mi amor...
JF Napenda kuwakumbusha wanaume wenzangu kama mimi, hakuna kitu kinakaba koo kama mwanamke wako kugongwa na wanaume wengine.
Ukiona mwanamke anamiongoni mwa tabia hizi huyo ni cha wote, wachana...
Lastborn wana raha utasikia mwacheni mtoto. Hata akila mkate mzima wengine mkose hata hafokewi sasa kula wewe ambae wa pili kuzaliwa utaona cha mkutema kuni [emoji2][emoji2]
Ukweli ni kwamba mkiachana. Sio kwamba mmeachana. Ni kama mme pumzishana
Sasa akitokea ni mwanamke ameringa kabisa
Cha kufanya
1. FUTA namba yake ya What's App asione Picha zako
2. Kama...
Mimi si mbea kiasi hicho kama warumi (Mungu amtangulie) ila mimi ni kidogo sana. Mwanzo nilikuwa nimezoea kuona mdau wetu mstaarabu kuwahi kutokea humu ndani aitwaye Smart911 akiwa anamtaja mwana...
Wakuu salam,
Naomba kufahamishwa ni sehemu gani sahihi kukutana na mpenzi wako kwa mara ya kwanza? Ambayo wote mtakuwa comfortable na kuji feel secure?
Je, ni bar? Mgahawani? Nyumbani kwa...
Jumapili ndio narudi zangu Dar nliwamisi sana washakaji wangu wa Dar, tukutane mnadani Kibamba Chama.
Kwa sasa bado nipo Dodoma hapa Rainbow soon ntakua Bambalaga tupe location
Upo wapi saivi...
Nyanja: Mahusiano
(tukio siyo halisi)
Mjaluo Mwl. James Okulo NyakwarChanga wa Kowak (a.k.a Home of Intellectuals) Rorya na Mhaya Rugumamu Ruguyamheto Rutabanzibwa wa Rubya wanalewa kwenye...
1. Usiingilie wala kuamulia ugomvi wa watu hasa wa mwanaume na mwanamke.
2. Usiingilie na kucomment mazungumzo ya watu usiowajua.
3. Usiwe unatoatoa ofa hovyo. siku ukipigika utaona aibu kwenda...
Je, wewe mdau wa JF upo kundi gani?
Bata:
Kujivutavuta, hufanya kazi polepole na kuendekeza uvivu mpaka mambo ya kikundi yanazorota au kufa kabisa.
Bundi:
Mtu anayefikiria ana akili kuliko wote...
Habari zenu wakuu
Leo Club yetu pendwa (Temu ya wananchi) Dar es salaam Young African itashuka dimbani kuchuana na Rivers United. Lolote linaweza kutokea wakati wowote. Yanga ipo na inaua...
Habari wanaJamiiForums.
Poleni na majukumu na hongereni pia kwa utaftaji. Mungu azidi kuwabariki.
Lengo la Uzi huu ni kumtakia tu yeyote umpendaye usiku mwema
Cha kufanya, tag yeyote umpendaye...
Salamu wakuu!
Sio kila siku maisha magumu. Leo nipo hapa kurahisisha maisha ya watu, japo kwa kiasi kidogo cha vocha au bucket ya bia.
Jitokeze, jishindie, furahia wikendi.
Vigezo na masharti...
Habari za muda huu Wana Jf!
Dunia hii imejawa na changamoto mbalimbali lakini leo tuongee kuhusu kusingiziwa Mambo ya aibu. Karibu tushee uzoefu huo na jinsi gani uli-recover.
Binafsi mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.