Mimi aliniomba 100K aongeze kwenye kodi wakati me mwenyewe kodi jau enzi za chuo hizo nikamwambia asubiri nipate boom. Akasema mwanaume wa kutegemea boom nae mwanaume...
Kuna huyu Dogo ambaye ukimwekea Noti ya shilingi elfu kumi na Sarafu ya shilingi mia tano yeye anachagua ile sarafu ya mia tano anaacha ile noti ya elfu kumi.
Dogo aliwashangaza watu wengi na...
Habarini za jumapili,
hii miziki naisikiaga tu kwenye maklabu nikapendezewa na midundo yake. sasa jana usiku nikaingia yutyub na kuandika amapiano nikakonnect blue tuth na hii home theater yangu...
Profesa alipo ingia darasani alianza na mada nzito sana.
Wakati alipogeukia ubaoni, mmoja wa wanafunzi alipiga filimbi.
Aligeuka, akatazama darasa na akauliza jina la aliepiga filimbi.
Hakuna...
Kulikuwa na mkulima wa matikiti ambaye alisumbuliwa sana na watoto waliokuwa wakivizia na kuiba matiikiti yake.
Siku moja akapata wazo zuri la kuwatisha wale watoto wasimuibie, aliandika bango...
Kuna hii tabia ya rafiki au mpenzi,anakuja kukutembelea nyumbani/geto kwako,kisha kuanza kutamani vitu vyako hii imekaaje?
Utasikia mara jiko lako zuri, kampuni gani hili,au mara hii tv...
Hii kitu usiombe!
Tumeumbwa na wivu wa asili, japo sio uchawi ila inapotokea unaanza kuombea mabaya wenzako.
Huu unabaki kuwa ukweli mchungu unaotibu kwa kuchoma roho yako...
Wana Jamvi nahope mko poa.
Hivi hawa itel wanawachukuliaje wateja wao. Aisee nimeletewa itel mpya na mtu nimsetie aanze kuitumia, ile kila kitu tayari akaweka memory card a play music, ebana simu...
NDUGU WATANZANIA NOMAAAA SANAA
Picha lenyewe linaanza mi nipo zangu natembea kuelekea kituoni. Hii barabara nayotembea ni ya changalawe na kando yake kuna wigo wa block mrefu sana kwenda juu na...