JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu tukutane Kibamba chama kuna mnada wa nyama ya Mbuzi na Kondoo [emoji238][emoji231][emoji207][emoji238][emoji238] Ntawapa Updates. Tokeni na Familia...
7 Reactions
114 Replies
10K Views
Blessed Sunday Nimechill zangu hapa kidimbwi mziki safi kabisa na ka upepo ka bahari kanapuliza kwa mbali, mezani na chupa zangu taratibu namaliza siku. Pisi zinapitapita sina habar nazo kama...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Yaani tuko single sio kwa kukosa. Watu Bali ni kwa maamuzi yetu tu. tujadili hapa .
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Ebana nimeamka nimekuta wife kapika maharagwe, nkayala supu, mchana kapika nyama nikamshauri tule supu akakubali. Now ni usiku kapika ugali ananishauri tuule bila mboga.
0 Reactions
4 Replies
813 Views
Habari za Mchana Mwenzenu nimewiwa kujiunga na upadre ila nimependelea shirika hili la wajesuit, Naomba kwa wenye ufahamu wanisaidie nawezaje kujiunga na vigezo gani vinahitajika. Asanteni.
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Hivi ulishawai kufika Mjini alaf mfukon hauna hata mia mbovu yan mifuko imedoda ukitazama huku unaona vitu vitamu madikodiko ukitazama kule unaona watoto wazur vishund** vimejaa mpk inamwagika...
4 Reactions
25 Replies
984 Views
Wafanyakazi wa posta walishangazwa kuona barua yenye anwani inayosomeka “Kwenda kwa Mungu, Baba SLP, Mbinguni”. Baada ya kujiuliza pa kuipeleka wakaamua kuifungua na kuisoma, ilikuwa imeandikwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo mwanza leo siku ya nne...kiufupi ni mgeni kabisa katika mkoa huu wa mawe (Rock city). Sina kampani kabisa natamani kupata marafiki wawili wa...
3 Reactions
67 Replies
11K Views
Nakupenda Tanzania yangu ya Mama Samia
0 Reactions
5 Replies
526 Views
Ni siku nzuri Kwa kila mtu ambayo hutumika kama siku ya pumziko. Je, unapendelea kufanya vitu gani katika siku hizi ukiachana na ile ya kusali. Refresh day it's weekend
0 Reactions
18 Replies
650 Views
wana tabia mbaya sana.ukiwa unakunywa zako bia ukigeuka unakuta chupa imeondoka dawa yao ni kutumia tarumbeta kama kawa na chupa nikiweka chini ina maana kitu nmemaliza. hawa viumbe wanatabia ya...
3 Reactions
62 Replies
12K Views
Habar zenu ndugu zangu. Ebwana nimefika maskan fulan nikakuta kuna kabishano balaa. Yan jamaa watatu.. Mmoja anatokea Magomen, wa pili anatokea Ilala, na watatu anatokeaKinondoni. Sasa kila...
0 Reactions
5 Replies
862 Views
Inakuwaje wadau! Kwakwel mabaharia wenzangu nikiwaga katika harakat zangu za kumtafuta shemej yenu mpya au wifi yenu (kwa ke) bac nikijibiwaga jibu hili "KWA KWELI WE KAKA NILIKUWA NAKUHESHIMU"...
3 Reactions
82 Replies
4K Views
Haya ndo maeneo wanakojiiuza Malaya kwa Dar na Bei zao, 1/=Ubungo hadi Urafiki kuna Rambo bar, ipo Urafiki mwisho,Kuna mikasa ipo riverside, Kuna London ipo external, bei zao ni 5000/=hadi...
2 Reactions
41 Replies
11K Views
Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu salon naingia nanyoa nywele mtindo ninaoutaka, ndevu nachonga 0 ya maana kwa 2000 tu huku kitaani kwangu Wewe hapo unaingia salon unagharamika bei gani?
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Habarini wana jf, leo nitazungumzia mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na kasumba ya watu kusubiri afike umri flan ndio aingie katika ndoa. Hii inasababishwa na iman miongon mwa watu kuwa kuoa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa dini hebu jaribuni kuchunguliachungulia huko katika maandiko nina wasiwasi Bongo imetajwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom