Habari jamii f Ls & Gs, nimemaliza shughuli zangu mda huu nimeona nisilale bila kunena nanyi.
Rejea kichwa hapo juu. kumekuwa na tabia ya wanaume walio wengi hasa waishio katika majiji kuwa na...
Ndio iko hivyo,
Ukisemwa ukweli utahojiwa na ukisemwa uongo nao utahojiwa.
Kuhoji huko hakutakuwa na ubaya maana kutakuwa na hoja.
Hata sijui nimeandika nini hapa,, mlioelewa mnieleweshe sasa
Siku 2 mfulizo nimeokota pesa lakini jinsi nilivyostuka na mapigo ya moyo kwenda mbio nimeshangaa sana. Siku ya 2 nimeokota pesa zaidi ya siku ya kwanza.
Kuna mtu amenambia kwa sababu hazikuwa...
Sometimes life comes and hits you right on your face and it's quite overwhelming. You suddenly start evaluating every life choice you've made whether it was the right one or not especially once...
Kuna mwanamke mmoja nilikutana nae Masaki pale kwenye ice cream kwa wadosi. Nikamsalimia na kujitambulisha kwake stori mbili tatu nikaomba namba yake akanipa.
Tukawa tuna chat baada ya mwezi na...
Kuna nyuzi nyingi sana za uwongo uwongo, lakini zina burudisha sana.
Kuna tajiri Bill Lugano, huyu jamaa ni fix kichizi. Lakini kwenye uwongo wake utaburudika kichizi.
Pia yupo Bujibuji, huyu...
Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.😔
Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii...
Wakuu habarini!
Nimeona ni vyema kuwashirikisha mkasa huu uliogeuka furaha baadae.
Leo bana, mida ya saa mbili usiku huu nkitokea dukani, kwa bahati mbaya Sana, nilikuta fedha pungufu ( yaani...
Habarini za jioni wakuu na poleni kwa miangaiko ya siku nzima ya leo, rejea kichwa cha habari hapo juu kisha dondosha comment yako ukiifafanua kwauelewa wako.
Binafsi kipimo cha mafanikio kwangu...
Kwa nini wanawake wa siku hizi wanawahi kubana korodani katika ugomvi? Kwa nini wanapenda kutoa maneno ya kashfa kama vile: 'huniridhishi(hata kama unamridhisha), una mambo ya kike n.k?
Hiyo...
Salam wote jf
Direct to the topic...
Je ni utafiti gan ulioufanya kwa kichwa chako ukijumlisha na your daily life experiences na unajivunia.
Binafsi utafiti wang nilioufanya na najivunia kwa...
Habari wadau
Ukweli ni kwamba miaka mia moja nyuma hatukuwepo na baada ya miaka mia moja mbele hatutakuwepo (so sad[emoji24][emoji24])
"Kila nafsi lazima ionje kifo"[emoji24][emoji24]
Sasa je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.