JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu kwema. Nipo mitaa ya Tabata na viwanja vyake huu usiku. Nilikua nauliza "huduma za kijamii" huku Zinapatikana wapi? Eneo zuri kidogo sio kama lile la Ubungo Riverside au Corner Bar watu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa kanipotezea usingizi wangu bure. Raund zote tisa ni majanga matupu, mangumi ya kumwaga,sijui kama nitaangalia tena pambano la yule.
1 Reactions
2 Replies
443 Views
CHAPUTA (Chama Cha punyeto Tanzania) kimepata pigo baada ya serikali yao pendwa kupiga ban vichocheo vya kazi yao, yaani picha na video za raha utamu. Wanaendelea kuiunga mkono serikali lakini...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Wale walevi sugu tukutane hapa maana ya kua mlevi sugu lazima kila siku tutupie njooni tupeane maujuzi
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Sasa hivi ni Mwendo wa Vitiki tu JF heko!
1 Reactions
5 Replies
787 Views
Hivi imewahi kukutokea? Una hali ngumu mno...... halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!. Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli ni kwamba...
16 Reactions
37 Replies
2K Views
Mashuleni, vyuoni wamejaa wao Nyumba za kupanga wamejaa wao Maeneo ya biashara wamejaa wao Makazini wamejaa wao Mashambani wamejaa wao Mahospitalini wamejaa wao Nyumba za ibada wamejaa wao...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Wasukuma wanao ule SENSEMA MALUNDE, Wasambaa wanao wa SEGERA JADAMKA SINA UNGOYA hebu tuongeze ongeze ili tuzitafute ambazo tutaweza kuziweka hapa, hata watoto wetu wajue kuwa na sisi tulikuwa na...
0 Reactions
163 Replies
61K Views
Enzi hizo miaka ya 1993, 1994, 1995 ikifika saa 11 kasoro jioni kale ka mlio ka ndege kanaanza kulia. Ikifuatiwa na muziki mzuri wa reggae hasa Luck Dube. Those days were so beautiful and...
1 Reactions
3 Replies
924 Views
Wengi hawajui maana ya neno "Kimeumana". Kimeumana maana yake ni hii
3 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Diblo Dibala (Soloist) 2. Bileku Mpasi (Rapper) 3. Allain Kounkou (Dancer) Naamini wakisajiliwa tu na hawa Watatu basi Waimbaji maarufu wa Bendi yenu ya Jangwani Music FC Band kama akina...
1 Reactions
2 Replies
747 Views
Top 10 ya kauli zenye changamoto. 1. Hata nyasi mtakula, ndege ya rais lazma inunuliwe- Mramba 2. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - JK 3. Acheni wivu wa kike - Msekwa 4. Asiyeweza kulipa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuwa na Masai flani Hawa wa Morogoro akaniambia Kuna mfalme wa wamasai tajiri la kimasai anaitwa Mataiyaa Mimi sijawahi kumsikia huyu mataiyaa ila inasemekana Ni mganga wa kienyeji wa kimasai...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Chalamila: chalamila Polepole: pilepild Kabudi: kavudi Nadhani wengi nitawashinda
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Kukaa Kwenye Nyumba ambayo ina Wapangaji Wengi Hasa wanawake wasiokuwa na kazi ni Watu wa kushinda tuu Nyumbani ni Kero sana
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Damn Cha fasta fasta kitamu balaaaaa [emoji18] Je ushawah kujaribu cha fasta fasta? Utamu wake Ukoje [emoji2957] Please tumien Tafsida Kuilinda post yangu isifutwe na JF [emoji22]
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanaume Ukikumbuka kuwa mama yako ni mwanamke hautofanya tendo la ngono kwa lengo kumtesa au kumkomoa mwanamke unayeshiriki nae!
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !! Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka kuoa ila mwanamke nilienae pasua kichwa sana. Nafirikia nimiache nitafte mwingine ila nahisi sitawamaliza na huenda huyu ni afadhali ya huyo next. Tatizo kubwa la huyu ni kuwa hataki kuona...
0 Reactions
8 Replies
516 Views
Back
Top Bottom