JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwakweli Anko magu hakua perfect ila ni Rais ambaye watanzania wengi tulimpenda sana. Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini. Hakupenda watanzania...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Ni weekend ila kwako wewe kwa kumzoea mtu wa JF na umekuwa benet naye kiurafiki sio kimapenzi na unahisi ukitoa sifa zake atapata kusudio la moyo wake basi leo mpe sifa mwenzio akatulie kwake...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Jamani ni zaidi ya miezi sita sasa, haipiti siku tatu bila kumuota raisi MAGUFULI, mara niote eti Mimi ni mmoja wa walinzi wake wanaomlinda nahii si mara moja naota. Wataalamu wa ndoto nisaidieni...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
Wanabodi hapa mnatoa marks ngapii kwa huyu jamaa
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama hujaoa kwa hili baridi ndo basi tena Kama huna hata wa kuboostiana nae kwa baridi hili nakupa pole Kuna watu waliachana na wapenzi wao sahivi wanalaani tu kwa wanawish wangekua nao Baridi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
NI GHETTO LANGU TUU LINALO WAZINGUA MADUU LINA NIPA CHAT KIJITONYAMA MPAKA EAST ZUU Maisha ya ghetto matamu jaman alafu maduu wanalikubali ghetto langu mpaka sielew an.. Hebu nambieni niongeze nn...
5 Reactions
36 Replies
7K Views
Mfano unamwita Monica ye anaitikia naam hivi Ni sahihi wazee? mtoto wa kike SI inatakiwa aseme abee Mara zote. Thread tayari.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwaka mpya wa fedha tumepelekwa mbiombio aseee na mambo yalikuwa Ni mengi bado bilabila na mother anaupiga mwingi na inavyoonekana hata bia kumbe hazitashuka Bei kumbe ile habari ya punguzo la bia...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Wale mademu Virungu kuomba kuomba hela sasa hivi tutawagonga mpaka Wakitaka elfu 5000 njoo uchukue maana watakata hiyo hiyo elfu 5000 mama Tanzania mbele Kwa mbele 2021
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Pombe sio supu,cheki hawa..!! Jamaa wawili walikuwa wanakunywa Bar wakaanza kuongea:- Jamaa1: Unajua mzee wangu ni Polisi? Jamaa 2: Weee kweli!? Hata mimi mzee wangu ni Polisi! Jamaa 1: John is...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
The guy ask me.. If ur wife got 1000 and u have 1000 wat could be the total!? 1000+1000=1000 nika mwambia hapana how come?? Mdau kapatia au kakosea!?
0 Reactions
9 Replies
940 Views
Habari ndugu. Poleni na majukumu ya kila siku na misukosuko ya kisiasa inayoendelea haswa kipigo cha mzee Warioba. Napenda kuwapa taarifa njema kuwa baada ya masaa machache nitasaini mkataba wa...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Leo ni siku ya kumbukizi ya kifo cha Mfalme wa Muziki wa Reggae barani Afrika, Lucky Dube. Nimejikuta nakumbuka kisa kimoja ambacho huwa nacheka na kujiona mpumbavu sana kila nikikumbuka. Enzi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar wakuuuuu, Poleni na mahangaiko ya wiki ,Wakuu leo ni weekend tupeane location ya kiwanja chenye watoto classic na beer bei elekezi jijini Dar es salaam . mfano TPS BEI SIO ELEKEZI BEER...
7 Reactions
283 Replies
31K Views
Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu. Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Yaani wake zako walikuwa mahasimu kwelikweli hadi kutishiana kuwekeana sumu na pengine walishazichapa saana mbele yako huku ukipambana kuwaamua. Leo unarudi zako home baada ya mihangaiko yako...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndo naelekea bandari ya Nakkala tayari kabisa kuanza safari ya kurejea dsm tz dua zenu ni muhimu sana ''OBRIGADDO''
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo nikiwa katika kuchati kwenye ma group ya whatsapp nimekutana na video ambayo imenishangaza sana. Jamaa mmoja ana jinsia ya kike (papuchi) ni muafrika Katika video hiyo wanaonekana watu kama...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Mwenye kujua kazi ya hivi vinyaji afunguke hapa, Kwa uelewa wangu ni vinatumika kuongeza nguvu za mwili na kufanya ujisikie fiti muda wote.Nazungumzia shark na redbull ,ila kwa zanzi najua...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
bangi inapokutana na pombe kwenye mkutano wa hadhara... Jamaa alikua ana date na demu wa kisabato na mambo yalikua hivi. Jmaa:baby unampenda msanii gani wa kike!? Demu: me hata siwajui kabsa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom