JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanajamii habarini Naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda...
1 Reactions
55 Replies
2K Views
Kwanza ikifika asubuhi anatoa nguo zake nimnyooshe ili avae kwenda kazini na kinacho niuma zaidi wamekua na desturi ya kwenda kuoga bafuni (public bathroom) na mkewe (dada yangu), na wanapokua...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Sielewi shughuli zingine zina nini ..lakini Mtu akijiingiza Tu huko na tabia inabadilika moja kwa moja ...harusi tena kuwa Yule wa zamani... Hii kazi ya udalali hapa Dar ..mtu akishajiingiza Tu...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Je, ukiachana na pesa ni kitu gani kingine huna? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachokitafuta? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine kinachokupa stress? Ukiachana na pesa ni kitu gani...
0 Reactions
4 Replies
473 Views
Hivi hapa duniani unadhani ni kitu gani kilitakiwa kiwe bure ila ndo kinauzwa lakini hakistahiki kuuzwa. Kinatakiwa kitolewe bure kwa kila anaehitaji?
0 Reactions
19 Replies
979 Views
Salaam, Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum. Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri? Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu...
9 Reactions
254 Replies
11K Views
Mara Paa!"Chanjo ya Corona inaongeza nguvu za kiume" yaani yote itaishia Dar, mikoani mtasubiri batch ya pili
1 Reactions
1 Replies
736 Views
Watu wengi wanaogopa sana kuishi bila mpenzi hasa wanawake sasa nataka kuuliza shida gani unaipata ukiwa uko single wewe mwanaume au mwanamke?
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Kiukweli humu JF sio kila mtu unamkubali na kumpenda kuna baadhi ya member wanakuudhi na kukukera ila hauna pa kutolea na kuwapa ukweli wao na aidha unaishia kutukana na kupewa Ban isiyo ya...
3 Reactions
258 Replies
18K Views
Hebu niambie ni adhabu gani ukiifikiria unaweza tapika hata ukiwa mwenyewe Nimekaa nikawaza huu ujinga nikajikuta nashikwa na kichechefu. Hivi ukiambiwa uteme mate yajae kikombe alafu uyanywe...
0 Reactions
5 Replies
862 Views
Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji. Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
USILETE UTANI KATIKA MAPENZI Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafanya nini endapo ataamua kuondoka na kumuacha! Mwanamke huyo akaamua...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtu unakutana naye mara ya kwanza kabisa,hamjawahi hata kuonana au kuongea nae lakini akiingia kwenye ofisi yako utasikia anakwambia ¶[emoji2788]"Nilikuwa naulizia kazi"="I was asking for a job"...
0 Reactions
2 Replies
611 Views
Wakuu kufuatia tangazo la Serikali kwamba marufuku mtu kupanda kwenye chombo cha usafiri bila barakoa, vipi linazingatiwa huko ulipo? Mimi huku daladala za Gongo la Mboto hamna kitu, maisha ni...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Copied; Hivi jamani, nifanyeje ili niogopwe na wasichana? Yaani wawe na hata ile hofu wanaponiona, nipo chuo mwaka wa 2. Inafika kipindi nataniwa hovyo hovyo hata kama sitaki. Pia naitwa majina...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Kwa wakazi waliozaliwa hii kata salawe-shinyanga ,naombeni sifa za wakazi wa salawe nmehamia huku kiutafutaji. Cha kwanza nianze kijifunza lugha ya salamu (kisukuma) .
1 Reactions
4 Replies
608 Views
Original Fun Memes from JF Community #Ndugu wakala, nimekuja kutoa salamu[emoji16][emoji16] #Utakuta Grace Mushi a.k.a Neema ndiye aliyechomoa betri morogoro Hii ya juzi ilikua Part...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Nikiwa primary nlikuwa mtoro saana na mtukutu Kuna siku nilitoroka shule na "masela" wangu mida ya kama saa5 tukaenda kuiba miwa kwenye shamba la mzee mmoja hivi lipo karibu na shule. Sasa basi...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf ,imani yangu ni kwamba mko na afya njema. Leo katika kuchimbua chimbua store yangu ya movies,nimeitazama filamu ya Sarafina. Nimekutana na msemo fikirishi wa mwalimu wa...
9 Reactions
59 Replies
6K Views
Back
Top Bottom