BAADA ya miaka minne ya kuajiriwa bila hata kuongezwa mshahara au hata marupurupu, Bwana Juma Hassani aliamua kwenda kwa bosi wake kulalamika. Jibu alilolipata kwa bosi wake ni kwamba, hakupewa...
Habari wana jukwaa. Napenda kutumia fursa hii kuuliza mawili matatu kuhusu Zanzibar. Mimi nipo Zanzibar (Unguja) kikazi kuanzia Jumapili tarehe 1 Agost hadi Ijumaa tarehe 6 Agosti. Mimi ni...
Wacha niwape story yangu kwanza. Nakumbuka huko Facebook nilipata mbaba mmoja hivi tukawa tunachati wee mwisho wa siku tukapanga tuonane.
Basi tukatoka out tukaagiza kuku mzima ndizi tano na...
Habari wanasherehe wenzangu,
Kila siku ni sherehe na kila siku ni sikukuu, maisha mafupi na huku kwenye kugida ndiyo starehe zetu.
Wakuu baada ya miaka mingi ya kugida Beere! Naona sasa ni...
Eti kisa umpendi fulani na Fulani , au fulani na fulani hawakusaidii ndiyo unadhani mabaya unayoyawaza kichwani eti ndiyo yatawapata,
Hamna jambo lolote baya litawatapata na wataendelea na maisha...
Nashauri tu katika harakati za kupungumza maambukizi ya Ukimwi kuwe na Kampeni hii. Nmejifunza kwa alichosema Rais wa Usa Joe Biden kuwa kila atakayechanjwa atalipwa usd 100.
Nikawaza na sisi...
Hebu kila mmoja atoe mawazo yake kama familia yake itamuuliza ni kitu gani atakifurahia kama famillia yake itampa support ili kutimiza malengo yake
Mimi ningeomba mtaji wa biashara na hela ya...
1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K
2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?»
3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype..
4. Ukimwambia...
Nawasalimu wana JF wote
Sasa bhana juzi jtatu nilienda zangu kununua sweta kwenye pitapita nikazoom kiatu nikaikubali, nikapatania nikachukua kwa elfu 15. Leo sinakanyata nayo kichele kwenye...
UBISHI SI MZURI.
Waziri wa ufugaji katembelea mradi wa NYUKI, alipofika getini Mlinzi akamwambia haruhusiwi mtu kuingia kwa sasa. Waziri kwa hasira akamjibu Mlinzi kwani hujui mimi ni nani huku...
Huyu Mzee wa utopolo kawa maarufu kuliko timu yake nimeona video yake akikatiza mitaa ya Dar huku akizomewa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi wa timu mbili kubwa hapa nchini.
Kutokana na...
Nimeshawishika kuandika hii baada ya kuona uzi wa ndugu mmoja hivi aliekua akilalamika baada ya watu kumtenga punde tu baada ya kusimamishwa kazi. But unfortunately nimesahau jina lake mnaweza...
Jamaa flani alikuwa amelala na mkewe. Mara akamuona mtu amesimama kitandani.
Jamaa akafoka, "Toka hapa, we ni nani mpaka unakuja kitandani mwangu?"
Yule mtu akajibu, "Mi ni malaika na hapa sio...
Hello bestito Chachu Ombara hongera kwa kumbukizi ya kuzaliwa kwako leo.
Nimekumiso sana nakutakia heri na fanaka kwenye kufurahia siku hii muhimu kwako kwani ni ya kipekee inakuongezea miaka...
Endapo hujakutana na taarifa ya kifo unaweza kukaa siku ngapi usikifikirie kwa namna yoyote hii ishu inayoitwa kifo.mimi hazipiti siku mbili nijitazame na kujiambia hivi Kuna sekunde na dakika na...
Ni kutafuta kilakitu....
Utafute mke, pesa, amani, usingizi na bado utafute ufalme wa mbinguni.
Hakika tutaingia mbinguni tukiwa tumechoka sana wallah..😎
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.