Wakuu tukutane Kibamba chama kuna mnada wa nyama ya Mbuzi na Kondoo [emoji238][emoji231][emoji207][emoji238][emoji238]
Ntawapa Updates.
Tokeni na Familia...
Blessed Sunday
Nimechill zangu hapa kidimbwi mziki safi kabisa na ka upepo ka bahari kanapuliza kwa mbali, mezani na chupa zangu taratibu namaliza siku. Pisi zinapitapita sina habar nazo kama...
Ebana nimeamka nimekuta wife kapika maharagwe, nkayala supu, mchana kapika nyama nikamshauri tule supu akakubali. Now ni usiku kapika ugali ananishauri tuule bila mboga.
Habari za Mchana
Mwenzenu nimewiwa kujiunga na upadre ila nimependelea shirika hili la wajesuit, Naomba kwa wenye ufahamu wanisaidie nawezaje kujiunga na vigezo gani vinahitajika.
Asanteni.
Hivi ulishawai kufika Mjini alaf mfukon hauna hata mia mbovu yan mifuko imedoda ukitazama huku unaona vitu vitamu madikodiko ukitazama kule unaona watoto wazur vishund** vimejaa mpk inamwagika...
Wafanyakazi wa posta walishangazwa kuona barua yenye anwani inayosomeka “Kwenda kwa Mungu, Baba SLP, Mbinguni”.
Baada ya kujiuliza pa kuipeleka wakaamua kuifungua na kuisoma, ilikuwa imeandikwa...
Habari wana JF. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo mwanza leo siku ya nne...kiufupi ni mgeni kabisa katika mkoa huu wa mawe (Rock city).
Sina kampani kabisa natamani kupata marafiki wawili wa...
Ni siku nzuri Kwa kila mtu ambayo hutumika kama siku ya pumziko.
Je, unapendelea kufanya vitu gani katika siku hizi ukiachana na ile ya kusali.
Refresh day it's weekend
wana tabia mbaya sana.ukiwa unakunywa zako bia ukigeuka unakuta chupa imeondoka dawa yao ni kutumia tarumbeta kama kawa na chupa nikiweka chini ina maana kitu nmemaliza.
hawa viumbe wanatabia ya...
Habar zenu ndugu zangu.
Ebwana nimefika maskan fulan nikakuta kuna kabishano balaa. Yan jamaa watatu.. Mmoja anatokea Magomen, wa pili anatokea Ilala, na watatu anatokeaKinondoni.
Sasa kila...
Inakuwaje wadau!
Kwakwel mabaharia wenzangu nikiwaga katika harakat zangu za kumtafuta shemej yenu mpya au wifi yenu (kwa ke) bac nikijibiwaga jibu hili "KWA KWELI WE KAKA NILIKUWA NAKUHESHIMU"...
Haya ndo maeneo wanakojiiuza Malaya kwa Dar na Bei zao,
1/=Ubungo hadi Urafiki kuna Rambo bar, ipo Urafiki mwisho,Kuna mikasa ipo riverside, Kuna London ipo external, bei zao ni
5000/=hadi...
Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni...
Wakuu salon naingia nanyoa nywele mtindo ninaoutaka, ndevu nachonga 0 ya maana kwa 2000 tu huku kitaani kwangu
Wewe hapo unaingia salon unagharamika bei gani?
Habarini wana jf, leo nitazungumzia mada tajwa hapo juu.
Kumekuwa na kasumba ya watu kusubiri afike umri flan ndio aingie katika ndoa.
Hii inasababishwa na iman miongon mwa watu kuwa kuoa...