Haya ni ya kweli?
1. Sio wanaume wote wanaopenda michepuko
2. Sio wanawake wote wana mwanaume zaidi ya mmoja
3. Kuna wanawake hawana Boyfriend kabisa
4. Kuna wanaume hawana muda kabisa na...
Inakuwaje wanajf, home of great thinkers.
Moja kwa moja katika mada.
Wadau sometimez huwa nikichili yananijiaga mawazo ya ajabu sana.
Sometimez huwa nawaonea gere sana ndege na yananijia mawazo...
Mada juu yajieleza.
Tukutane hapa kwa updates zaidi.
Mimi nitaangalia salio kila baada ya dakika 30, ikitiki tawajuza, ila huko nmb wakiwahi mtujuze pia.
Habari JF
-Mpaka utakapooa ama kuolewa, vinginevyo ni bado upo SINGLE !
1. Tumechumbiana kwa kuvalishana pete [emoji849][emoji57](wewe ni single tu).
2. Ninaishi nae nyumba moja...
Wakuu hii imekaaje? Unakutana na dem mnaongea vzur tu mnabadilishana mawasiliano..baada ya muda unaanza kurusha nyavu ( tongozo) mtoto anaona msg watsap na anasoma (blue tick) ila hajibu chochote...
Salam sana wana cc wote,
Nimekumbuka wimbo wa ...pepe kale... R.I.P
unaoitwa ...Shikamoo (Hidaya)...... kuna mahali alisema...
Nimepoteza mupenzi wangu kule Tanzania .......
Nimepoteza mkanda wa...
Demiss upo uko wapi??
Mie mzima wa afya njema nimekumiss huku jukwaani huonekani.
Kimya ?
Au umeolewa??
Tujuzane tukuletee zawadi ya heri.
I miss u my dear friend huku tulikuwa tunasaidiana sana...
Habari,
Mara nyingi watu hujifunza na kupata some exposure kutoka kwa mtu fulani na hasahasa mara nyingi watu huvutiwa na mengi kutoka kwa members wa JF, inaweza ikawa sio character halisi ya...
Hamna kitu inaumaa unarudu kwa Mangi unakutana najamaa wanahadithiana yaaanai leoo nimela.baa sitaa za bk miatan
Mwingine
Za buku Nimemimina kumi aisee mwenye ukweli hasa wale wa tbvu tujuzanee...
Lengo Ni ili umpate jirani wako mjadili matatizo ya maeneo ya kwenu au kujuzana machimbo au matukio na maafa ya huko kwenu.
Naanza Mimi kwa sasa naishi mtaa wa mwenge mkoani singida.
Karibuni msiogope
Hata kabla Mwigulu Nchemba hajaachia ngazi Wizara ya Fedha, huko Mbeya , Mafiati Mwanjelwa tayari kuna jamaa kmwita mtoto wake mchanga jina la Mwamala Mwatozo.
Nyie watani zangu mna mambo!
Eti uanze kuwawaza wanasiasa asee ndugu yangu utachelewa bure Hapa tuna tafuta Mia Mia tule Sasa wewe jifanye uko serious uone kama utatusua.. hapa Ni kupaa tu na kudana Kama nako hunywi pombe...