Wakuu salama?
Kwa waliosoma shule za bweni (boarding) za mchanganyiko, mtakumbuka jinsi maisha yalivyokuwa "tight" hasa kwa shule zenye sheria kali kama zile za dini na taasisi mbalimbali...
Niliwaza labda niandike thread kwenye story of changes Kisha nimuombe mkwepu jr kunisapoti yaani aniombee kura.lakini Nikakuta napelea vipengele kibao yaani hata ukifunga siku 50 hupigiwi...
Asee wanawake bwana! Cjui hua wanawazaga nn! Unamweleza hisia zako juu yake kwa njia yamtandao (_tongozo) ..anakwambia tuma pesa kwanza nipate nguvu ya kuonana na kuongea naww!..cheni...
Kama challenge inavyosema
Tafadhari tupia saa uliyovaa kwa sasa mkononi tuone.
Nb hatupo hapa kudharau au kuangalia gharama na kukejeli wengine.
N:B picha hii ya juu ni kwa hisani ya mtandao sina...
Niliwahi kusikia mahali kwamba heri masikini na watumwa wao ndo hawanaga stress kama boss eti kwamba matajiri wanateseka sana japo wana hela lakini haziwasaidii kupata furaha Wala kupata usingizi...
Ipo hivi, kwanza Mimi sipendi shida napenda mapenzi napenda mziki napenda vitu vingi tu ila sina malengo kama unadhani mimi na malengo tena imekula kwako sina malengo yoyote zaidi ya kusubiria na...
Kuna watu wapole, wastaarabu ukionana nao na ata kuishi nao,lakini kinyume chake ni wakatili lakini wengine hawajui,
Wengine watakuchekea Usoni ukiwa nao lakini nje ya hapo ni manyamela ya hatari...
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya...
Wajomba zangu Mimi usiku sijui niseme naotaga au najitungia tu movie mwenyewe kwamba namiliki utawaka mkubwa ninakuwa na magari mengi Kama alivyo diamond ila Mimi nakuwa natoa offer ya bia Sana...
Habarini wakuu,
Baada ya hii tozo mpya kwenye mitandao ya simu matarajio yangu wale wanawake wa tuma na ya kutolea watawahi kuchakata mbinu mpya ya kupata pesa ila naona kimya mpaka sasa...
Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takriban kumi na kenda.
Tafakari ya babu...
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu...
kweli hawa mademu wa kimarangu ni soo wanapenda sana kuomba omba. ukimtokea tu siku hiyo hiyo anakubali then kesho yake tu atasikia.....jamani kuna ndg yangu ana shida ya elfu.xxxx naomba...
Jana klabu kubwa kuliko zote Afrika mashariki, Yanga ilikabidhiwa kombe la ubingwa wa kuifunga timu ya Simba SC huku ikiwa imebakiza mechi moja I tu akayopigwa July 18 2020.
Haya ni mafanikio...