JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi ni kwly? Inasemekana wadada wanatabia tofauti katika mapenzi kulingana maumbo ya miili yao (1): WASICHANA wafupi wanaongoza kwa WIVU wa MAPENZI na kuwajali wapenzi wao'' (2):WASICHANA...
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari za siku mpya wanaJF! Swali: Kwa michongo uliokuwa nayo na mikakati uliojiwekea unadhani mwaka gani utatangazwa kuwa bilionea?
0 Reactions
3 Replies
436 Views
Habari wakuu nawasalimia kwa jina la jamhuri😂😂😂😂 Sasa bhana iko hivi katika dunia ya sasa kuna sehemu naona kuna tofauti fulani ambayo na ngumu kuikuta mahali pengine tofauti na humu jamvini...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Utafiti wangu usio rasmi nimekuja gundua kwa miaka inavyozidi kwenda watanzania wamekuwa watu wa kughadhibika sana. Jambo dogo tu hata lisilohitaji kutumia hasira mtu anaweza kukuwakia ukikaa...
2 Reactions
11 Replies
648 Views
Ukimuona bodaboda amening'iniza kamguu pembeni na visendo Halafu amekalia tako moja usipande!! Halafu anakuwa amevaa kipensi cha jeans , tunywele amesuka rasta huku bodaboda inapiga mziki wa...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Si niwe tu mtu wa MUNGU serious niwe naongea mambo ya MUNGU ili niombe neema nipate uwezo wa kutoa maono Kisha nyie member muwe mnakuja mnanitembelea kuja kunisikiliza maarifa ya Siri au nikija...
1 Reactions
4 Replies
533 Views
Habari. Binafsi mdada akivaa wigi namshusha viwango. Sometimes nafika mbali, namuona kama mtu asiyejiamini, asiyejielewa na mwenye tatizo. Vitu artificial viko vingi ila kwa mawigi hapo mmezidi.
0 Reactions
17 Replies
781 Views
Naomba kujua. Nani alikuwa mmiliki wa jogoo aliyewika mara tatu siku Petro anamkana Yesu?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuuu baada ya mishe mishe tukiwa tumejipoza Jf tujaribu kutaniana kidogo. Utani Unaweza kua wa; Mtu na mtu, kabila, kanda, dini, Rangi, Kimo na hata elimu. Ila kuchukia haitakiwi.
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kijana Ukisikia hii kauli toka nduki. Mzinga ndo unafuata....kina Dada mmezidi asee. Fanyeni kazi, "supa wuman" Ni pamoja na kufanya kazi halali sio huu uharamia mnaofanya sasa. Full mizinga...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Mbona kuwa tajiri Ni kazi rahisi sana yaani Tanzania nzima nashindwa nini kuwaomba Wananchi laki moja tu kwa wastani kila mkoa niombe watu 3000. Wengine unawafanyia kazi ndogo wakikupa tu hela...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
mimi nina ZERO 7 am talking about money
1 Reactions
2 Replies
300 Views
Binafsi Kama sina hela nasubirigi tu ziishe ila nikiwa na hela nanunua msosi mzuri nakula nashiba( ile shibe hadi ya kulala).
4 Reactions
89 Replies
7K Views
Ina maana tulilishwa matangopori ama ilikuaje maana sielewi kabisa ishu imeishaje na mbona waziri hatolei ufafanuzi.
4 Reactions
7 Replies
686 Views
Kama wewe ni muumini wa minyanduano na mzururaji mzuri katika lodge na guest house mbalimbali ndani ya Tanzania kama nilivyokua mim tokea miaka ya 2000 mwanzoni mpaka Sasa sidhani Kama kuna...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
A brand new year gifted to you by God, Packed with lots of love & sent to you from heaven above. All the angels of heaven sing the birthday song, For today is the day, when on earth, a star was...
4 Reactions
88 Replies
12K Views
Nani alaumiwe serikali,corona, wazungu, shetani,watu au kitu gani kimetokea?
0 Reactions
3 Replies
552 Views
Hi, kuna mtu yeyote anaweza kunieleza ama kunipa kisa kilichopelekea kaburi kuitwa futi sita?!
5 Reactions
70 Replies
7K Views
Salam wakuu, Hivi mnawakumbuka hawa jamaa? Hawakuna watu walikua wanajifanya wajuaji muda wa msosi shuleni kama mafud memba. Yaan hata kama darasani hamna kitu ila ukifika muda wa tea au msosi...
2 Reactions
7 Replies
468 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…