Weekend iliyopita nilikuwa bar moja ukipita Dar live upande wa kushoto.
Saa moja usiku nipo counter, kaja dada mmoja ile kumuangalia tu kosa, kanifata ananinong'oneza chumba 5000 na mimi 5000...
Habari za humu, it has been a while since my last thread here.
Majukumu ya hapa na pale nayo yamenishika, nashindwa kushiriki mara kwa mara humu. Anyways iko hivi mie nimehitimu shule ya msingi...
Ninayoyaona hapa ninapoishi yanahuzunisha sana
*Kwamba kuvusha dem n sawa lkn wakikutembelea washikaj hawaruhusiw kuoga.
*Mama mwenye nyumba na wanae wanatandika mkeka karibu na choo.Ukizam...
Wakiwa mahakamani katika kesi, wakili wa mashtaka alimwita shahidi wake wa kwanza, bibi, mama mzee mwenye msimamo.
Alimfuata na kumuuliza, 'Bi. Jones, unanijua?
Bibialijibu, 'Kwa nini, ndio...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Nimeandaa uzi huu maalumu kwa ajili ya kukera watu, njoo umkere yoyote yule bila kuogopa.
Karibuni tukerane hapa.
Matusi mwikooooo.
Sent from my SM-G9250 using...
Mchumba ulikutana nae kazini. Wazazi walisikia uwepo wako katika maisha ya binti yao. Kilichokupeleka ghafra ni taalifa ya ugonjwa wa mama yake.
Mezani mnakuta vyakula vyote na kilichokosa...
Serikali si mmeona kunipa ajira Ni kipengele nikiingia Uzi wa vyakula natamani mamisosi ya kumwaga na mazagaazaga Ila ndo vile Tena Sina mahela..
Sasa Mimi Ni mjanja siwezi kukwama kula matunda...
Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends
Kule Vichwa vipanga ni...
Ni swali dogo kama la mzaha hivi lakini ukiulizwa kwa haraka haraka unaweza kosa jibu au ukajibu kile unachokiona /waza.
Je!ukiulizwa hili swali utajibu nini.
Habari Rafiki,
Umewahi kupanda usafiri wa uma kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine?
Kwa bahati nzuri ukakutana na mtu mkazoeana kweli halafu wakati wa kushuka mkapotezana na hukuweza kupata...
Habari zenu wakuu,
Mi nina swali, hivi Inakuaje watu wanapendana hadi wanavaa sare hadi wanaoana? Seriously mtuibie Siri tunakwama wapi wengine ndo tunazeeka hivo.
Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.
Kwa walio pitia magumu...
Yaani huyu jamaa kachukua salama, akaweka nzi wale wakubwa watatu na kisha akajivisha kwenye mahala pake (akaivaa ..ndom na nzi wakiwemo ndani ya sox kwa mbele.
Sasa...... Wale nzi walipo anza...
Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh.500,000/= kila mmoja huku...
Ukiachana kushughulika na shida za watu hakika utafanikiwa ndo maana matajiri Wengi Wana roho ngumu.sie wengine tuna huruma Sana hatuwezi kukuona unakufa tukashindwa kukusaidia na huku tuna...
Jaza nafasi iliyo wazi kwa YES or NO
Oh_________ I'm an idiot
Bila kusahau hii nmeiona mahala flani uko twitter Nika i copy tuje kuchangamshana kidogo
Wale waliosoma kwa magari ya njano njooni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.