The great question that has never been answered, and which I have not yet been able to answer, despite my thirty years of research into the feminine soul, is 'What does a woman want?'
Hello JF members
Hebu tuangalie makabila ya Tanzania na jinsi watu wake wanayo shangaa.
1. Waarusha/masai - shee.
2. Wa haya - shoo.
3. Chaga - mburaa/mbuta
4. Bondei - boo
5. Sambaa - tee.
6...
Habar wadau Ile RAHA ya kuwa na mtoto ninayo kwa asilimia Mia mimi kama Baba sababu ya kuwa Rafiki na Mwanangu imepelekea nimebuni michezo Mingi ya kucheza nae mpaka mwezi Jana nilipo gundua kuwa...
Miaka mingi imepita, tulikutana jijini Dar tukiwa wanafunzi mimi nilikuwa Airwing, yeye alikuwa kama sikosei Kibasira kama sio itakuwa zanaki au jangwani kati ya shule hizo.
Tulipotezana tulipo...
Habari wanaJf..
Poleni na harakati za kutafuta maisha na hongereni sana kwa utafutaji.
MUNGU azidi kubariki juhudi zenu mnazoonesha.
Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba nisizunguke saana...
Kama title inavyojieleza. Katika utafiti simple nilioufanya nimegundua kuwa jina la mtu au kitu lina affect jinsi maendeleo ya huyo mtu au kitu kitavyokuwa. Mfano mtu mwenye jina linaloanzia na R...
Kuna mwanachama mwenzetu alishatuwakilisha kwa.kuhonga 7800 dem katoma Mwanza hadi Dar
Karibuni mabaharia
Moto:Kuna pesa naisikilizia[emoji41][emoji41]
Marufuku kuhonga au "kutuma na yakutolea"
Mimi nilifikiri Wachina wamekuja kuwekeza kwenye biashara na viwanda kumbe hata kwenye mauno wamo, tena wanakatika kuliko hata dada zetu wa kibongo, hii ni shida sasa.
Habari wadau wa JF
NAWAULIZIA MALEGENDARY JAMANI
Nawasaka wale wenzangu na mm tuliokuwa tukileta mada hapa naona kuko kimya sana wako wapi wa le wa kale jamani akina Mtambuzi , KakaKiiza ...
1.Usaliti nchini China inaruhusiwa kwa mwanamke aliyesalitiwa na mume wake kumuua mume wake,lakini sharti amuue kwa mkono wake
2.Kwa sheria za Nervada ni kosa kubwa sana kisheria kama utakutwa...
Kwa fasili ya harakaharaka
Utata katika maneno au katika matumizi ya lugha ni ile hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja
Mfano:maneno kama vile
📌Ua
📌Mbuzi
📌Chezewa
Mfano wa...
Wakuu jana sijalala kabisa kuisubiri hii siku ya leo..
Nauliza zimeshukaaa?? Nikiwa na ten napiga 10 kweliiii
Mshana Jr hujauliza huko, nipo barabarani magari yao hayapitii kabisa leo
Mwenye...
Salute guys.
Wakati mwingine mtu unaweza fanya upuuzi halafu kila ukikaa kutafakari uliwaza nini inabaki majuto.
Usiku wa jana nikiwa eneo moja na jamaa kadhaa wakati nimeegemea meza kwa nyuma...
Ukiwa mzee utayajutia haya[emoji116]
[emoji117]Kutokusafiri kwenda sehemu mbalimbali duniani.
[emoji117]Kufanya kazi ngumu.
[emoji117]Kutokutumia mda wa kutosha na wazazi wako...
UNAITWA NANI
JUMA ABDUL
Toka Wapi
ZNZ
UNATAKA TUKUOMBEE MUNGU AKUTENDEE NINI
JUMA;;;;NAOMBA MTOTO
REDIO;!UNA NDOA
JUMA!;;;HAPANAAAAA
AHSANTE JUMA TUNAOMBEA WATOTO KWENYE NDOA TU TU...
Hapa sijala nina siku saba!😭
Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo! Baada ya kuanguka akaniuma...
WHO IS THE MOST STUPID?
PETER: "I want my money now!"
JOHN: "I will kill myself so that I won't pay you"..(He pulled a gun and shot himself dead)
PETER: "Hahaha... If you think u'll get away...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.