JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?
50 Reactions
484 Replies
43K Views
Hakika TBC wameboresha, kwa anaefahamu jina lake tafadhali.... Picha zake nimezikosa kabisa google
2 Reactions
111 Replies
32K Views
Ishu haziendi kabisa ajira hakuna biashara nayo, ni ngumu kote mapenzi ndo kabisa bila ya kuwa na pesa hupati kitu siamini Kama mpaka house girl wa jirani amenikataa. Hali sio nzuri kabisa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Eti wakuu. Maana naona ng'ombe wanapandishia hela. Walau hawa wanalipwa. Sasa hiki la jogoo likoje?
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Arusha tunasema kuna baridi aisee ila huko makete ni uturuki ndani ya Bongo.
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba nitoe wazo kwa pande pindi mbili za uwabata(umoja wa wanaume bahili tanzania na uwabake(umoja wa wanaume wabahili kenya). Katika kukuza ushirikiano baina ya hizi asasi mbili ambazo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau haya maisha si wakati wote mtu unachora kumi na moja au matuta usoni. Utazeeka au kufa kwa sononi bure. Hebu hapa tuwasaidie wale wanaotaka kujiua angalau wafurahi waahirishe. Kuna jamaa...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa umoja wetu natoa mapendekezo ya kuundwa kwa serikali ya watu wa JamiiForums (JF) HATUA: -Kufanya uchaguzi wa rais wetu pamoja na mkaimu -Kisha raisi kwa mamlaka tutayompa atamchagua waziri...
2 Reactions
14 Replies
776 Views
Ukiona umekorofishana na mpenzi wako na ukajaribu kujiexplain halafu akakujibu NIPO SAWA TUU... My brother hapo jua unatakiwa ufanye kazi ya ziada kumfanya aelewe maelezo yako, usije sema hukuambiwa.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nipo kwenye gari hapa nimeshangaa kumwona jamaa dume na mindevu yake ana App ya Snapchat kwenye simu yake Bila shaka anaitumia hii app,binafsi naona hii App imekaa kutumika tumika na Wanawake...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Kiukweli tarehe Kama hizi maisha huwa magumu sana unakuta hela tu ya mboga. Naomba Serikali ituwahishie mishahara angalau jahazi lisizame.
7 Reactions
83 Replies
9K Views
Wanasayansi wa anga kutoka Tanzania wanatarajia kurusha chombo kinachoitwa HAPA KAZI TU SPACE ROCKET kwenda mwezini kikiwa na Mtanzania mmoja kwenda kufanya uchunguzi na kutembelea mwezi mnamo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wife ananidai laki 7. Take home yangu haifiki hiyo laki 7. Si mnajua jinsi bank wanavyokaba mpaka penalty. Hawana cha kuruka mwezi, wao kila mwezi wanachukua chao mapema. Mkiuona mwezi...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Mada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara
1 Reactions
82 Replies
16K Views
Happy father's day to my father na baba wote wanaotambua majukumu yao na hata waliopitiwa kwa namna moja ama nyingine katika kufanya majukumu yao Uwepo wenu ni muhimu sana katika maisha yetu...
27 Reactions
37 Replies
2K Views
muhali gani wana jamvi, Nimekutana na changamoto ambayo sikupanga kupitia katika maisha... nikiwa nimetengana na mke wangu kwa mda kama wa mwezi hivi kwa sababu za kiuna ndoa ndipo nikakutana na...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
1. Michael Sarpong 2. Abdulazaq Fiston 3. Metacha Mnata 4. Ditram Nchimbi Hawa nao wangemsaidia sana tu Mama.
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Straight to the topic, Juzi kati kuna hela nilikua natarajia iingie kwenye acount yangu sasa nikawa nimeangalia sana salio ile siku kama mara 8 hivi ila hela ikawa haijaingia, nikaona isiwe kesi...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
I met with this guy on 2017-2018 Nakukumbuka Festo...nisamehe kukufungulia uzi.... Wasalimie Mpwapwa🥰! I hope to meet again.... Wasalaam ! Mzee wa Legacy
11 Reactions
211 Replies
10K Views
Back
Top Bottom