Eti! "Woooo! Mke wangu kasema"😀😀😀😀
Yule wa pili akasema, "juha ni mimi, jana nilikwenda sokoni nikanunua nyama, na mchele, na nazi, na bizari na kunipia nikaja nikampa mke wangu akapika akaisha...
Wakuu katika dunia hii, ukiwa na pesa kuna starehe kubwa mbili ambazo mwanaume kamili huwezi kwepa kujihusisha nazo eidha zote mbili kwa pamoja ama uchugue moja
Starehe hizi ni
1. POMBE
2...
Hello there!
Truthfully, at the beginning of the year in office (I used to work in a foreign country back then), we were all supposed to tell one any goal you've archived (in the previous year)...
Nidesturi ya sehemu nyingi kuambiwa "KARIBU TENA" baada yakupatiwa huduma fulani lakini maneo haya kamwe huwezi kuambiwa karibu tena nakama utaambiwa hivyo basi utahisi unatakiwa NUKSI ama UCHURO...
Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal.
Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na...
Wanaume wenzangu tafuteni pesa tengenezeni maisha yenu hakikisha kwa umri wako, Una gheto lako liko fresh Lina kila kitu.
Lakini pia hela ya kubadilisha mboga haikupigi chenga. Nakuhakikishia...
Hivi hatuwezi kucheza upatu hapa JF jamani, yaani kila siku awe analipwa mtu mmoja hvi, kwa vocha, mpesa, tgopesa nk...coz naona maisha yanazidi kubana,na jk mwenyewe haeleweki
Imagine ndo umepanga kuonana na mtu leo jamani. Masimu hayaendi, sms usiseme, miamala haisogei yani tafrani. Utajuta yani na ndio usikute uliomba ka emergency kazini kwa siku ya leo, mambo si ndo...
Collection ya magari yake ni pamoja na Rolls Royce, Porches, Bentley. Umri wake ni miaka 40. Alitumia encro phone, hii ni simu ambayo gps na camera vimetolewa na message zake ziko encryptied...
[emoji23]"nipeni likes...wakwanza hapa..tupia likes za kenyan's..."ckuiz ukiingia yutub huez kosa hayo maneno kwny comments..binafsi siwasemi kwa ubaya waomba likes ila bado cwaelew yaan hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.