marc anthony-everything you do ambao upo katika album ya MENDED ya mwaka 2002,wimbo wa 13.Ndio wimbo ambao kwangu mimi ndio mzuri kuliko zote duniani.Ukifuatiwa na next to you by chris brown..Kama...
1.Vile viti vilivovunjwa pale uwanja mpa vimetengenezwa?
2.Nimetoka moro kutoka jana
3.Anord swaniger
hahaha wewe umekutana na zipi zilisokufunja mbavu
Hebu tuambie basi jamani, uligegeda/gegedwa siku ya ngapi baada ya mtongozano mimi namaliza mwaka sasa kuna manzi alinikubalia mtongozo ila mambo ananipa kalenda
Imetokea tu..mmekutana baa
Wewe meza hii na yeye meza ya pembeni...dj akipiga wimbo gan utamshukuru sana..tena ikiwezekana utaimba kwa sauti/au kucheza kwa madoido
Naheshimu sana huu msemo"Kuna hela naisikilizia".Nashangaa watu wanaubeza na wanadharau pale wanapoambiwa.
Mtu anayesema hivi ina maana moyo unataka lakini pesa haipo kwa wakati huo kukamilisha...
Ni usiku!
Tunaongea wale tunaoliona jua usiku wa manane.
Baada ya chupa kadhaa za Whiskey + Beer! Nimejikuta natamani kuongea. Tunajua msemo kuwa 'wherever there is wine, there is truth. Basi...
Wezi wa Mifugo waliiba ng,ombe kwa Mmasai kisha wakamfunga Mmaasai Uchi kwenye Mti ucku kucha Asubuhi Majirani wakamuona na kumpa pole akasema sisikitikii Ng'ombe Wangu kuibiwa bali huyu Ndama...
Hello guys
Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya Mungu awabariki wapendwa. Pia, nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana...
Hebu tuzikumbuke Shule zetu za msingi tulizosoma miaka hiyo na Jambo gani ambalo hutalisahau?
Aidha si vibaya ukasema ulikuwa unashika Nafasi ya ngapi.
Karibuni!
Jana baada ya Chelsea kuchukua ndoo nikaliunga libeneke hadi saa 10 alfajiri ndiyo natinga home...tilalilaa
Leo nimeamka saa nane mchana..nikatoka kula mbuzi choma maana kila kitu kilikuwa...
Kuna jamaa[emoji1465] alipost kua anahitaji 20k [emoji383] ana dharula. Watu wakasoma [emoji102] na kupuuzia isipokua dada moja tu ambaye alimfuata DM na kumtumia 50k [emoji383].
Kumbe yule...
Namuombea nafasi katika serikali yangu apewe kazi maalumu ni kijana wa Aina yake anastahili tuzo hapa jf ya great thinker Bora anayechipukia kwa mwaka 2020.sambamba na Hilo napendekeza mamlaka...
Mi mpaka leo humu jf nnaowahisi ni member wa kike ni hawazid watano...nyie wenzangu mnawafahamu vp?
Maana unaweza kumuita mtu bro kumbe ni pisikalina unaweza kumuita mtu dada kumbe dume..hiz id...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.