JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa. Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Katika mazingira gani? Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
6 Reactions
119 Replies
22K Views
Jamani embu tuambieni Kati ya vilevi hapo Chini ukimuona mtu anatumia huwa una muona wa ajabu sana yaani hajitambui(hopeless and useless man). 1. Ugolo 2. Gongo 3. Bhangi 4. Mirungi 5. Konyagi na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Yawezekana kuna mtu ulimfanyia kosa kubwa na ukashindwa kumuomba msahama moja kwa moja au kukiri kwake, basi jukwaaa hili ni kwa ajili yako, sema hapa hata kama hataona lakini...
2 Reactions
8 Replies
718 Views
Habari zenu jamani, Wakubwa zangu Shikamooni, rika langu Mambo, wadogo zangu inakuwaje. Mi bana naomba kujua na kuuliza tu Humu Jamiiforum hayo majina mnayotumia mlikuwa mnafikilia nini au jina...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwaajli ya kisa chochote kilichowahi kukuta usiku wa giza totoro ambacho kilikushangaza na kukutisha.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa, mwenzenu maisha ya Dar yamenishinda nataka nihamie mbeya mjini, nipeni ushauri hapo wadau
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangu nijiunge JF kumekuwa na watu kwenye majukwaa tofauti kuwa active wakichangia hiki na kile. Kwa sababu tusizozijua watu hao kwa sasa hawapo, hawa hapa ni baadhi yao Lizaboni Simiyu Yetu...
7 Reactions
91 Replies
5K Views
COURTING Out on her first date her mother 's words were ringing in her ears: " Say no to everything he suggests." So after dinner and a couple of drinks he said: "Do you mind if we fool around...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinacho nipa stress nikikumbuka Siku nikifa ni nani atabaki na simu?
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada wenu. Nimepigiwa simu na hii namba ila sikuopokea. Je waweza mtu kuifahamu ni namba ipi hii? +255282623003
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba niwe mkweli. Mimi enzi hiyo nikitoka na mshua naenjoi saana yaani; kila kitu ntanunuliwa na iwe icecream, juisi, karanga nguo, viatu fresh ila maza alikua anabana saana aisee. Hebu nipe...
1 Reactions
14 Replies
686 Views
Ninavyojua mimi baadhi ya majina ya sehemu mbalimbali yana maana na eneo husika. Je vipi kuhusu majina haya ya baadhi ya mitaa ya Zanzibar? 1. Mchambawima....hapo zamani kuna watu walikuwa...
0 Reactions
32 Replies
23K Views
Habari wanaJF Poleni na majukumu na hongera kwa utafutaji Mungu azidi kubariki kazi za mikono yenu. Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba ushiriki wako Ahsante.
0 Reactions
4 Replies
735 Views
Tulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa.. Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super ...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika taasisi za vyuo na sekondari za wavulana huwa kuna vijiji jirani ambavyo hupakana na vyuo hivi. Kwenye vijiji huwa kuna msichana mmoja anakuwaga malaya sana kiasi cha kutembea na wavulana...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Hapa ofisini kuna dada wa masijala kafika ana miezi miwili. Mzuri kweli...umbo lake matata hasa. Sema tu ni mswahili sana. Ananiona mimi mpole so mara nyingi anakuja ofisini kwangu kunifanyia...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna jamaa toka Mbeya anajiita mc mboneke anatrend sana IG na mambo yake ya videos anakimbia huku anajirecord mara anasema, irudiweee. Nimeshangaa eti saivi kikao mtu anajirecord anamuiga huyu...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Kukosea ni vibaya ila kutokuomba msamaha ni vibaya zaidi. Napiga magoti mbele zenu watanzania wenzangu naombeni mnisamehe. Sikufanya hivyo kwa makusudi sema nilisahau kuwa nchi ambayo babu yangu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna tetesi tokea juzi kiungo nazi ni adimu sana hapo mjini Dar es Salaam ni sababu tajwa ni mechi ya Simba na Kaizer. Kama ni kweli kwa hakika hiyo hali haikubaliki kamwe! Serikali itoe tamko...
0 Reactions
5 Replies
589 Views
Back
Top Bottom