Wagonjwa wa akili walipanga jinsi ya kutoroka hospitali. wakamua wampige mlinzi, wamnyang'anye funguo, wafungue mlango, wakimbie. walipofika mlangoni hawakukuta mlinzi na mlango ulikuwa wazi...
Kwa mfano mkeo anaumwa na amefanyiwa operesheni, na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka.
Je, inawezekana kuvumilia?
Swali hili ni maalum kwa wanaume tu
Mwekezaji wa ndani anayemiki bar ya vyakula na vinywaji inayojulikana kama The Picnic (Ngome Kongwe)iliyopo Kaloleni jijini Arusha, Antony Urasa ameishauri jamii inayotoa huduma kama zake...
Siku ya jana nimekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha niliyo nayo. I can talk about it forever.
Nataka niweke...
Hizi nyumba za mabati sio nzuri ukitafuta usingizi unaskia panua niingize alafu unaskia masauti ya kutamanisha ukuta wa mabati unatingika. Wewe vile hijafanya mapenzi mda mrefu unapeleka maskio...
Katika mambo yangu ya kimaisha na kiuchumi i have reached one of the highest stage of thinking.
Unajua inapofikia hatua unaota ndoto unajadiliana na wawekezaji tena ndoto nzima unaota kwa...
Eid Mubarak.
Kwa kweli sijui ni nani aliasisi, jumamosi na jumapili kuwa siku za mapumziko?.
Ukiangalia jumamosi ni siku ya ibada kwa wasabato, jumapili ni siku ya ibada kwa wakatoliki na...
Hivi inakuaje watu hasa Wadada wanakomaa kutumiwa Pesa ya Idd?
Umefunga wewe Idd wanaomba wengine na wanakomaa kweli kweli utasikia nataka Idd yangu.
Nitumie Idd yangu, mpaka inafikia hatua ya...
Vyakula ndiyo vinaanza Kupikwa sasa tafadhali wengine hatujaalikwa ila kuna sehemu kadhaa dalili zote za Pilau zinajionyesha je, tutumie Mbinu gani ili tulazimishe Kualikwa?
Kama sijaalikwa Leo...
Unywaji wa KAHAWA hauleweshi na kuiondoa AKILI NA UTAMBUZI WA MWANADAMU.....
Unaweza kwenda kijiweni ukiwa na shilingi yako 100 kwa lengo la kupata KIKOMBE KIMOJA TU ilihali nafsi yako inataka...
Kitu chochote tu akikisikia ama kiwe hakichekeshi au kweli kinachekesha atatumia muda mrefu 'kuchekacheka' huku 'akirembua' Macho yake.
Na hata akienda Kuchota Maji Bombani utaona akijifunua...
Kwa wanawake naomba mtambue ya kwamba, Kuna makundi matatu ambayo wanaume wana wagrade wanawake walionao:-
1.Mwanamke ambaye unaenda nae geto mwenyewe.
2.Mwanamke ambaye unamwambia ampe bodaboda...
Kwa heshima kubwa!
Ninaomba shindano la kumsaka miss Jamiiforums lirejee katika mtiririko wake!Sheria ziwekwe wazi, mambo yawe wazi! Wadhamini wawe wazi na mwisho wa siku washindi wapewe zawadi...
Wale ambao wazazi walitusimamia na wakatufundisha hardwok, nidhamu, kuwa busy na mambo yako.
Lakini mitaani maofisini na kila maeneo unakuja kugundua kumbe hardworking alone sio dawa.
Watu...
Jeff aliishi na bibiye kwa chumba na watoto wawili usiku wakati walingoja watoto walale ili kufanya ngono. Walipokua wakifanya kitanda kilitetemeshwa hadi mtoto mmoja alianguka. Mtoto akaambia...
Nina wazo ndugu zangu mnaonaje tukihamasisha mtandao wa JamiiForums uwe mkubwa kuliko hii ya kimataifa hapa nchini maana naonaga sana watu Wengi wanatumia Facebook na Instagram wengi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.