1. Lala nae (muhimu kuliko yote)
2. Mlishe ashibe
3. Muheshimu
4. Mwache awe na amani
5. Usimuingilie katika mambo yake.
Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni...
Hasira Hasara!
Mmiliki wa kampuni moja kubwa aliamua kutembelea site ili aone kazi zinavyoenda, akakuta Kijana mmoja amesimama huku wenzake wanapiga kazi. Akamwambia, "Wee Kijana, mimi sijaajiri...
habari za jioni.
samahani kama nawasumbua.
nilikuwa namuulizia jamaa anaitwa Ushimen kama yupo humu.
shida yangu ni kumsalimia tuu.
sisi watanzania tumefunzwa utamaduni wa kujuliana hali hata...
Hivi kuna baridi gani kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam hii hadi Dume zima kila mara tena likiwa limejikunyata Chumbani linamuomba Mkewe amchemshie Maji ya Moto akaoge?
Kuna Wanaume wengine ni Mayai...
Usiku wa jana nilikuwa na furaha isiyo kifani. Jambo hili limeniumiza kichwa kwa muda mrefu hatimaye kwa kudra za Mwenyezi Mungu, usiku wa jana nimeweza kulisolve.
Sasa wanufaika wote wa mradi...
Habari wanajamvi. Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwangu ingawa ilikuwa siku ya huzuni kwa Pr. Muhongo.
Mimi ni mfuatiliaji nzuri sana wa JF kwa muda mrefu ingawa sikuwa member, nilifuatilia...
Hello Dears,
I would like to address that.
Love is a complex chemical compound ova.
Love is the combination of three complex chemical compounds Dopamine, Serotonin and Oxytocin
C8H11NO2 +...
Ile time kuna PISI kali ,au ka gentle fulani unakaelewa vilivyo unatafuta timing ukajimbwae mbwae
Unamuelewa kiasi kwamba unajiweka tofauti na kawaida ili hata asikuchukulie kawaida
Binafsi Enzi...
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:
JAMAA: Shem nakupenda!
MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? Tena koma!
JAMAA: Ntakupa milioni 1!
MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini...
Me Baadhi iliyonipa Utata hii
..............
[emoji117]Jamani Nimekaa vibaya ntakupa....[emoji1787]
[emoji117]Subilia nakupa......
[emoji117]Atakupa yulee NYUMA[emoji85][emoji848]...
Wakuu habari.
Nimejkuta natamani kupata hili swali kwa majibu kuptia humu ndani kwa wataalamu Jf.
Hatuangalii Mali na utajiri wao Bali kipaji alichonacho mmoja wao.
Kwakuwa ID yangu inasadiki maisha yangu ambayo nimeamua kuyaonyesha JF.
Nadhan, Na kwa msaada wa wadau wengine ambao wanaweza kutoa matukio yao yaliyowatokea/yanayotokea bar hasa yanayohusiana na...
sisi wakazi wa gomzi kwenda baharini ni safari ndefu hadi unafika kiu imekata.
nauliza kwa maeneo ya mbezi, buguruni,tabata,majumba sita, mfugale na kisarawe sehemu nzuri za burudani kwa watoto...
Kuna style moja nimewahi kusikia eti mtu anataka akamatwe anajipaka mavi binadamu wanaogopa kumkamata.hivi tukio kama hilo nilakawaida au mhusika anakuwa Ana matatizo ya akili?
Siku hizi tukipata watoto tu cha kwanza ni IG account,bank account atajijua mwenyew.Likes za ndugu zetu zitawasomesha nadhani.
Halaf account ya mtoto inapost I LOVE YOU DAD-unacoment I LOVE YOU...
Sasa hivi kila mtu JF ni mbabe, analeta fiction stories, anaandika anachojisikia kwa sababu asilimia kuwa ya members tunatumia fake IDs.
Nawaza ile mara ghafla kila member analog in anakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.