Naomba uburudike na wimbo huu kokote ulipo, nakutakia EASTER njema wewe pamoja na familia yako yote na wale uwapendao[emoji173]
THE MAFIK
kigoli ushanipiga roba kabali/
silali penzi nshacheza...
Najua mwezi umeandama ila kimeumanaaaaa. Acha niandamane nao tuu sio kwa kuumana huku wuuuhh.
Jumamosi alfajiri nilienda mpokea, tukaanza kutabasamu maana hatujaonana kitambo kidogo. Nilijikuta...
Nakumbuka ilikua mwaka 2012 nikiwa niko chuo tulipanga nyumba nzima maeneo ya Buguruni mimi na vijana wengine kama wanne, sasa ikatokea laptop kuibwa katika mazingira ambayo mimi ndio nilikua...
Hello jamiiforum,hope mu wazima wa afya ndugu zanguni.
Kwenye mada, Kama heading inavyosomeka ni kwamba
Nikiwa mtoto wa darasa la nne shule fulani mkoani,nilitokewa na muujiza ambao kwa wakati...
Nawahasa Vijana mTafute hela mpunguze kujieleza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ukiwa na Hela hata Dem aseme we Kibamia hakuna atakae mind...
Ni jina gali ulipolisikia kwa mara ya kwanza lilikushangaza na hukuwahi kudhani kama kuna mtu anaweza kumuita mtoto wake hivo?
Kwa upande wangu kuna majina kama
.kufa
.mabla blaa
.mateso
Corona ilikuwa Tishio duniani na hasa Tanzania lakini ilipotangazwa tu kuwa inakaribia kuja Kutuambukiza na Kutuua kwa Mshangao mkubwa ikatoweka.
Tokea Juzi TMA wanatutisha tu Watanzania ( hasa...
Did you know that It is impossible to sneeze with your eyes open. It is a defence mechanism that has evolved to protect our eyes from bacteria and debris.
Kulingana na janga sisi ma-beach boy tunaotegemea utalii (mabibi wa kizungu). Tunaumbuka maana hatuna ujanja zaidi ya kutulia home na kunyoa Rasta. Tunaumbuka peupe. Nitaweka uso wangu wapi...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu zamani tulikiwa tunajua wanawake ndo wambea lakini sasa hivi naona na wenzetu was nao hawataki kupitwa jamani naomba muacheeee
Wapenzi wa movie😅😅😅
Tulishachotwa akili kweli na hawa watengenezaji wa muvi. Hivi lini bongo movie tutafika huku..walishawahi kupata hata Tsh 10Mil???.
Issue Ipo hivi....
Muvi ya Avatar ilitoka...
Hello everyone !
Leo April 08 ni siku muhimu kwa rafiki yangu kipenzi hapa Jf aitwaye Jimena ,
Naomba tujumuike pamoja kumtakia heri ya kuzaliwa dada yetu huyu......
Napendelea sana ule msemo...
Adjee adjeee wakuuu
Mimi ni katibu mwenezi na itikadi wa CHAPUTA na ningependa wanachama wenzangu tushirikishane njia bora za kujiliwaza kwa punyeto huku ukiwa una uhakika wa kuwa hauwezi kupata...
Kabla haujaingia kwenye mahusiano jaribu kuupima moyo wako kwa "KUBET KWA PESA YA KODI" (mpe arsenal ushindi, mpe yanga afunge goli 3, mpe man u ushindi at home ground, bayern munich aongoze...
Nani aoe shida Jamini?
Unaoa binti anajua kila kitu siasa yeye, mpira yeye, ujasiliamali yeye, kubeti yeye, Movie yeye, biashara yeye, hadi Harakati yeye.
Hii haitakuwa ndoa sasa. Hawa...
Hivi ni mimi tu sijawahi kuandika hadi peni ikaisha au kuna wengine, maana nikipata pen mpya siku tatu ishapotea..!
Fagio nikitengeneza leo siku mbili tu washaiba,Anyway mnawakumbuka Hawa manigga...
Mimi nakumbuka familia yetu wazazi hawakuwa strict sana kivile kiasi cha kuogopwa na watoto. Ila kuna Sheria 3 kuu ambazo watoto hasa wa kiume ilibidi tuzifate na kuzitii kama tulihitaji kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.