John Sanga alikuwa ni mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati...
Kwakuwa watu wengi humu hatujuani imekuwa ni kawaida sana kila mtu kujitutumua na kujimwambafai sana katika hili jukwaa. Utasikia ooo nimempiga mtu mawashi, sijui nimemfanya mtu hivi na hivi...
Nilikuwa nawaza hapa, ni password na namba ngapi nimezikariri mpaka nikajiogopa! Hizi hapa ni password;
Bank; CRDB, NBC,NMB
M-Pesa, Airtel Money
Password ya laptop, gmail, hotmail, yahoo...
Wadau habari.
Kuna hizo salamu kutoka kwa vijana wa siku hizi ambao kwao kusalimia kwa kusema Shikamoo ni shida. Utawasikia wanakuambia Heshima yako Mkuu, kwa kweli mimi nashindwa niwajibu nini...
Habari wakuu, nmeiona mahali hii nikavutiwa kujua inawezekanaje ikawa tarehe moja na mwezi mmoja kwa watoto wote watatu?
Kwa mwenye uelewa kuhusu hili atusaidie.
Yeereeeeeh,
Tulisifika sana enzi zetu sisi mashamba boy, Houseboy na Wabeba zege.
Mara ghafla miendesha bodaboda ikaja na kuchukua heshima na hadhi yetu ya kuridhisha wasioridhishwa.
Siku...
Nyiee hivi mlishawahi kwenda Kigoma kuna gari zinaitwa Cassablanca ukiingia ndani picha linaanza kwanza hitakiwi kuvaa tshirt au nguo nyeupe maana utafika kibondo kama umetoka kumuibia mchina...
Wakuu wazee wa mikasa ya kweli ya kimapenzi.
Kuna story mbili kali za ukweli za mapenzi zimewahi trend hapa JF. Ya kwanza ni ‘how i met my wife’ na hii inayotrend sasa hivi ya khumbu wa South...
Utafiti wangu binafsi katika swala hili
Nikwanini katika group au magroup na hata katika mitandao mingine ya kijamii wanaume huwa wanakuwa kipaumbele🚶🏼♂️ kumfata mtu ibox📩 kwa mawasiliano📞 ya...
Habari ndugu zangu,
Yani leo hii nimeachwa apeche alolo kwa utaratibu wa kufuatilia loss report baada ya kupata mafuriko na kuondokewa na baadhi ya vitu vyangu muhimu, so nikajikaza na kasema...
Habari za uhakika kwa 100% zimeonesha yule jamaa aliyeonekana akitembea uchi na familia yake akiwa na mkwe wake Morogoro ni member mwenzetu wa MMU.
Chanzo cha taarifa hii ni yeye mwenyewe...
Asubuhi tulivu nikiwasalimu nyote.
Ningependa kusema kuna watu wanastaili kabisa kupewa ulinzi maana wanafanya mambo ya kupendeza sana au nasema uongo ndugu zangu .naanza kama hivi.
1. Wale...
Yaani siku nimekuwa mtaalamu wa vitu na mambo mbalimbali, mapenzi. Tekno hama na hata wizi, ujanjaujanja na habari kalikali vyote nimevifahamu hapa.
Mwavenje sana
Kutokana na kinacho endelea bungeni, hasa kudharauliwa kwa wenzetu darasa la 7 bila kujali mchango wao katika taifa hili, ni vizuri jambo hili tulijadili kwa kina.
Kabla ya yote napenda...
Imezoeleka kuwa kama mtu katoka shamba kuja town na akaanza kushangaa shangaa jiji huitwa mshamba...Vipi kuhusu wa mjini akienda kijijini na kuanza kushangaa mashamba ya mpunga, baskeli za mbao...
mchungaji mmoja katika
mahubiri yake huwa
anachangamsha sana waumini
wake,kwa mfano utakuta katikati ya
mahubiri utasikia "..Muambie jirani
yako..Yesu anakupenda!" basi kwa
furaha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.