Wanazitest kama vile tunavotumia (kwamba unamchagua mdada/mkaka then mna do) au? Isije wao wanatest kwa robot afu sie tunakubali tu. Kama ni binadamu ndio wanafanya kazi hiyo ikiwezekana wawe...
Binti mmoja alichumbiwa na mwanajeshi mmoja. Wote wawili walikuwa wanapendana sana.
Siku moja yule binti alitaka kumpima mchumba wake aone anampenda kwa kiwango gani.
Binti akamwandikia mchumba...
Ukiwa na dingi mkali au mbabe, huyu lazima umdanganye, hakuna namna
Ili umnase demu lazima utupie uongo
Walimu wanoko, dawa yao uongo tu.
Hata kanisani wengi ni waongo na wanafiki, nyuma...
Kwa mujibu wa Mamlaka ya serikali ya Mfalme wa Saudi Arabia waislamu wa Saudi Arabia na nchi zinazofuata mwezi wa kimataifa wataanza kufunga swaumu kuanzia kesho tarehe 13/04/2021.
Kwa mujibu wa...
Embu fikiria kama viungo vyetu mwilini vingekuwa vinafungwa kwa nati au screw[emoji3]
Sasa siku moja ukaenda kuoga tena ukafungua na machine(kirungu) ili uisafishe vizuri afu mara paah nati...
Nakumbuka miaka ya 2001 kuja mpaka 2014 hivi Dar ilikuwa tamu mno. Maeneo ya Sinza na Mwenge ilikuwa maeneo matamu sana kuishi. Dah! Jamani Sinza ilikuwa tamu balaa, watoto wa Sinza walikuwa...
Wanabodi,
Ni jambo lisilopingika watu ambao tunafurahi na kucheka kimaisha wakati wa JPM tupo wengi sana sana humu jamvini
Gharama za maisha zimeshuka sana. Leo hii kila kitu bei rahisi kuanzia...
Thread hii inasema alikuwa mtu mwema awekwe mahali pema. Malaika wanamchukua wanaenda mweka atulie.
Kabla hawajarudi inaandikwa nyingine ya kumponda na kusema alikuwa Shetani Malaika wanambeba...
Habari wanajamvi,pasi na shaka mpaka unapata muda wa kuperuzi Jf basi upo vyema kama kuna mwenye tatizo basi. tuendelee kumuomba mwenyezi MUNGU atatutia nguvu.
Hebu tutoe majonzi kidogo,hususani...
Tukiwa tumekaa na masela tukipiga story, mara anakuja dada mmoja na kutuambia kuwa kuna ajali mbaya ya basi imetokea Singida. Akaulizwa hizo habari yeye amezotoa wapi, akajibu kuwa ameambiwa na...
Kama mnavyojuwa gharama za vifurushi zimeongezeka maradufu kwa sisi watumaji na wasomaji wa taarifa mbalimbali za mitandaoni.
Hivyo tumekubaliana kwamba yoyote anataka kutuma video au audio yenye...
Vijana graduate wavivu sana mjiajiri mtaji sio tatizo, muongozo wa kujiajiri kwa graduates wa degree na mtaji wake
1) Ualimu- mtaji chaki tu
2) Uhasibu- mtaji Calculator tu
3) Civil Engineer-...
Nimejaribu kuwaza hapa vitu, vituko nilivyokutana navyo nyumba ya kupanga nikajikuta nacheka mwenyewe.
Sasa basi naamini kila mtu ana vitu na changamoto na vituko anakutana navyo ,so tunaanza...
INGEKUWA WANAUME WA DAR NDO WALIPIGANIA UHURU HADI SASA WATZ TUNGEKUWA WATUMWA
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR Wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap,
mfano we mwanaume: Unaishi...
Enzi ya zilipendwa; enzi ya suruwali ya pekos, viatu vya ghorofa na saa ya funguo tatu; enzi ya slim fit; miaka ya 70!
Ndipo upembuzi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Nyerere unaotumika leo...
Salaam wa JF,
binafsi napenda na sipendi mtu asiye wangu aione chupi yangu pasipo sababu ya msingi, lkn nakuta jirani yangu yeye anafua na hupenda kuanika chupi zao (mke na...
Habari wadau wa JF,
Kuna filamu niliiona zamani sana miaka ya 2000 hv na nikaipenda sasa nimeikumbuka nataka ni-idownload sema siijui tittle yake.
Inahusu:
Askari mmoja hiv alikua lazy sana...
Unampelekea Fundi Simu Pale Makumbusho, Alafu Unamuona Anainama Chini Ya Meza Unadhani Anatafuta Vifaa Kumbe Yuko Youtube Anaangalia Jinsi Gani Ya Kutengeneza Simu...
Dah nimewakumbuka washkaji zangu tuliozaliwa siku moja pale hospital siku ile dah
Yaani tulilia kinoma siku ile,kila wakitunyamazisha..ah wapi hatutaki..tunalia tu tena bila sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.