Uzi wa kufahamu walipo kwa sasa na wanachofanya wenye majina yaliyowahi kuwika sana Tanzania
Yuko wapi Tundu Antipas Lissu?
Yuko wapi Dr. Edward Hosea? wakati huu wa kuelekea uchaguzi angekuwa...
Kwa wale ambao ni wasaliti ikiwa ni kwenye ndoa zao,au ktk patnership za biashara au kazi nawakumbusha tuu kwamba mwenzenu Yuda leo ameishaingiza madola yake haramu toka jana.
Endeleeni na hizo...
Ndugu zangu wa (UWABATA),Chama Cha wanaume bahiri Tanzania hili swala tusiliache lipite hivihivi!,moja kwa moja Kama UWABATA limenishika na kuniteteresha kiuchumi!
Ktk pitapita nimeona kweli...
Ikitokea upo mazingira ambayo upatikanaji wa choo ni mgumu, ukaamua kujisaidia kichakani
Ile umeondoka tu unageuka nyuma ukamuona mtu anazoa kinyesi chako na kukiweka kwenye karatasi kisha...
Kila mtu ana mtaa wake aliotoka, na tabia mbalimbali
leo tuongelee kuhusu hizi daladala zetu
wa UBER mtuache kwanza🤣
Sisi daladala za huku kwetu huwa zinajaa mpaka KONDA anapanda BODABODA
vipi...
Ndio nakumbuka leo ni Ijumaa ile tunayoiita Ijumaa kuu yenye amri, Usile nyama siku ya Ijumaa kuu.
Just imagine ndio uko na mning'inio wa ziada 'hangover' na umeambiwa usile tu nyama siku zote...
Kwa mujibu wa vitabu na walimu mbali mbali ina sadikika kuwa hivyo
Wewe kama mwana historia jadili kutuaminisha kwa hii maada hapo juu
Kiswahili & kingereza
0 KARIBUNI
Leo ni Ijumaa kuu. Bado siku 2 ifike Pasaka. Ni sikukuu kubwa sana duniani hasa kwa wakristo.
Kuna weekend ndefu Ijumaa mpk Jumanne. Lakini pesa hakuna. Tumejibanza majumbani kama Pimbi.
Nikiwa nimekaa mchana wa jana nikapitiwa na usingizi ghafla nikaota zitatolewa/zitatangazwa ajira mpya zisizopungua elfu 30 na zisizozidi elfu 32 mwezi wa kumi mwaka huu.
Mulemule ndotoni nikawa...
Hakuna kama Sky eclat huyu dada ni mkali wao yaani ni wa moto linapokuja suala la uelewa kichwani kwake ni mchezo simple kuna ma file mazito juu yake.
Kiukweli nampenda huyu mama wanawake wote...
Kuna watu ni wagumu kubadilika kuendana na zama. Zamani mtu akiwa na kitambi au mnene ilikuwa ni sifa lakini zama hizi ni suala la aibu. Kumwambia mtu kanenepa au ana kitambi ni matusi.
Nawaomba...
UNDUGU NI KUFAANA.
Undugu ni kufaana, wala sio kufanana,
Na mikono kushikana, mambo kushirikiana,
Mapenzi na kupendana, wala si kuchukiana,
Undugu wa kugombana, kwangu hauna maana,
Hadharani...
Nakuaminia sana Mama kwa jinsi unavyojua Kucheza vyema Mchezo wako wa Draft.
Jana umesukuma Kete Moja nzuri sana nikakubali kuwa Draft unalijua na umeiva nalo.
Sasa Mama bado Kete zako Mbili tu...
Mtu ( Abiria ) anapanda DalaDala halafu anaamua Kukaa katika Siti ambayo japo kuna Jua Kali linapiga lakini Dirisha lake ni zima na linapitisha Upepo ( Hewa ) vizuri tu ( hasa Kipindi hiki cha...
Habari wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada (chama chetu kitakuwa si cha kuzungusha maneno)
Siku hizi maduka yamehamia mtandaoni, kuna pesa za mtandaoni na mambo mengine mengi. Siasa pia...
Hivi Unaitwa baba alafu mwanao analelewa ukweni wewe badilika tambua baba siyo jina la ubatizo. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] [emoji474][emoji474][emoji474][emoji1714][emoji1714][emoji1714]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.