Hi! Hongereni kwa kuona tena siku mpya ya leo wana JamiiForums.
I real love these gal named Anitha i real mic you my lovely sister ingawa tumejuana humu jamii forum but i real feel proud to know...
Wakati tunasoma mzee kuna hiyo siku unajikuta tu Unaenda zako darasa jingine kupiga story mara ghafra mwalimu anaingia unasikia tu anasema laleni Chini kwa nini mnapiga kelele,
Aiseeee huwa...
Mzungu ananunua vinyago na tamaduni kadhaa za asili kutoka Afrika kwa mwafrika.
Mwafrika ananunua teknolojia ya mzungu kisha anatumia wala hawezi kununua tamaduni zake kwa kuwa anazo.
Kila mtu...
Hellow.
Sote tunajua wazi kati ya Bar na Bra zikifunguliwa lazima kwa mwanaume yoyote atatokwa na udenda unless awe shoga, anisi au mlokole(hatumii kilevii)
So hebu jaribu kuimagine mwanamke...
Sijui ni ushamba au ulimbukeni huwa sielewi kabisa
Watanzania ni watu wa kuhisi jina la mtu ndio mafanikio
Ufahari wa jina hasa ya kikabila ni kujua maana ya jina, Majina ya kikabila kwanza ni...
Maisha yana mengi.
Binadamu tunapitoa changamoto nyingi za maisha katika kujipatia kipato.
Kama uliwahi kuwa kibaka ama jambazi tukutane hapa.
Niliwahi kukwapua elfu 5 wakati nasoma form five...
Namtafuta dada yangu huyu na rafiki yangu kipenzi Wahida Mohamed alisoma pale udsm tulianza mwaka 2006 akisomea Chemistry, mara ya mwisho kuwasiliana nae 2013 alikuwa akifanya kazi/intern pale...
Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru.
Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na...
Salaam wakuu.
Tulikuwa maeneo fulani leo mchana, tulienda kucheki mashamba ya jamaa yangu aliweka vibarua.
Tulipofika ktk mizunguko ya hapa na pale shambani, tukaenda kupumzika. Sasa kulikuwa na...
Nilipo kua na Akili za kitoto nilikua nawaza zile sauti za Mbu usiku ndo sauti ya Nzi mchana.
Yaani hapo nilikua najua Nzi wakati wa usiku ndo hubadilika na kua Mbu maana sauti ndo ilikua Kama...
Nimeshaishi kila maisha Kama Ni mizigo nimepiga sana vyombo vya kila aina japo napenda maisha ya kuishi chaka mbele huko.nilipokuwa Ni ma home boy nakuja town nafanya mambo na Wana mchango wa...
Kuna watu wana majina magumu ila kuna sehemu pia kuna majina ni magumu aiseee, last weeek nilikua Tabora, kuna Wilaya moja kuna sehemu inaitwa "Shamba la Nyege", sasa mimi ndio nilikua...
Najua tumekuwa na siku ndefu ya huzuni katika shughuli ya kumpumzisha kipenzi chetu Hayati Dr JPM namshukuru Mungu tumemaliza shughuli salama jemedari apumzike kwa amani aluta continue.
Bila...
Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara...
Mambo vipi wadau..
Hili halina ubishi kabisa,ukifika A-town utakutana na warembo wa sampuli zote yani dah kweli ni kama hili jiji limekuwa kivutio fulani cha watoto wote wazuri kutoka kona zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.