JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hongera kwao Hongera kwa familia Hongereni WanaCCM wote! Happy Anniversary
9 Reactions
43 Replies
6K Views
Kuna Watanzania baadhi mna Mambo ya ajabu na Kipuuzi sana yaani muda wa Kuaga Marehemu ( Maiti ) ukifika Mtu anataka kuanza sijui kupiga Picha na Kumgusa Marehemu huku akiijua kuwa nyuma yake kuna...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamaa anapishana na NOAH yake chalinze akiwa kwenye bus na yenyewe ikiwa imebeba Kiroba cha mahindi na watu na aliipeleka kwa fundi ikatengenezwe ilala. Kumpigia fundi kumuuliza mbona gari yake...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanawake mmefanikiwa kuchukua Nchi hii sasa. Kwa hiyo Muache na Tabia zenu za kuomba omba Nauli na Hela za Kutolea. Mjiheshimu sasa!
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Yaani aalivyokuwa anamchora JPM na boonge la komo sijui kama macho ya mama Suluhu yatasalimika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
12 Reactions
30 Replies
3K Views
Hello jf.. Nimebahatika kutembea nje ya bara la africa sehemu kama Sydney,London,Denver,New york,Istanbul,Melbourne na Madrid. Nimegundua ukiwa huko hata husikii njaa hovyo tofauti na bongo...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa niaba ya sisi wanywa soda na vinywaji laini, naomba kufikisha malalamiko yetu kwa mheshimiwa mwenyekiti kuhusu vitendo visivyo vya staha ambavyo tumekua tukifanyiwa na jamii. Kati ya kadhia...
12 Reactions
58 Replies
3K Views
Salamu wakuu. Leo ni siku ya furaha duniani, naomba nijumuike nanyi,Tuwe na furaha wapendwa. Pia leo ni storytelling day. Lets celebrate [emoji1635] And my [emoji512].[emoji12] Muwe na siku...
1 Reactions
10 Replies
586 Views
Mimi hapa nilipo nchini Herzegovina ( yalipo Makazi yangu ya Kudumu ) kiukweli Ninalia mno ila nashangaa Mtaa wa Pili kuna Mijitu naiona ndiyo Kwanza tu inaagiza Supu na Chapati, Mwingine anaagiza...
1 Reactions
16 Replies
812 Views
Bwana mimi naona kama nakaribia kula Red Card maana naweza kumsalimia tuu Umeamkaje My.... Akijibu Salama Love ndio basi. Niokoeni kwenye hili
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ewiiiiii............ Yanyukweeee.......... Daah, salam wakuu! habare za weekend? kwa wale wa mambo yetu yaleee watakua wanaelewa namaanisha nini hapa. haya basi mtaalam mmoja wa chenja aweke kitu...
7 Reactions
229 Replies
18K Views
Kwa kifupi wanaJF nimekuwa na tabia ya kuichukia sana Marekani hadi natamani iporomoke kabisa hiyo dola. Sababu za kuichukia ninazo nyingi mno, Ila kuna mfuasi wangu anaeichukia USA aje hapa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wasalaam Wakuu. JF ni chuo kitaa. Unajifunza mengi mazuri na mabaya pia. Kama ambavyo chuo kuna kozi huwezi kuisoma, hata humu JF kuna nyuzi ambazo hutaki kuisoma kwa sababu moja ama nyingine...
9 Reactions
61 Replies
3K Views
Kama marafiki zake wa 4 ni malaya, basi yeye ni malaya wa 5.. Kama unataka kujua demu wako ni mwanamke wa aina gani, kuwa karibu na marafiki zake.. Marafiki zake watakuonyesha demu wako ni...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
UKOO! Fikiria, Unaoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto wa kike mkubwa. Kisha Baba yako anaoa mtoto wa mwanamke uliyemuoa. Mtoto wa mke wako anakuwa Mama yako, baada ya Mtoto wa Mke wako kuwa Mama...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Simple F Yuda Msaliti Akajesus Wakorintho III Sakalani kapita Nguvu ya upepo kijini Komando kipensi Msagamasi ze master Master dudu (huyu jamaa alikuwa na mzigo hasa) Four figure man Man cush...
0 Reactions
10 Replies
711 Views
Eti kwa pamoja leo tudiscus hii kitu, hivi nyie wadada sijui tuwaite masistaduu au walimbwende nauli ya kutoka buza hadi buguruni rozana ni sh.400 tu ila sasa kila uchwao mkiitwaga maghetoni...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Hamjambo humu ndani? Baada ya miaka 37 ya kutapatapa katika dimbwi la usingoboi hatimaye ndugu yenu natarajia kujipatia jiko mwaka huu mwezi wa 8 au wa 9 hivi. Karibuni sana. Shemeji yenu...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom