Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu kwa uzima na afya tele alionijalia mpaka kufikisha siku ya leo, naendelea kumuomba aniongezee siku za kuishi ili nizidi kupata nafasi...
Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh!
Hivi...
Muda wa saa nne za Usiku anawika saa saba za Usiku anawika, anataka nitoke niende wapi usiku wote huo, labda anajua mi mturutumbi anakosea sana tena ni mwehu,
Kuku wenzake wa majirani wanawika...
Ndugu zangu wana Jf.
Nyie ni familia yangu upande wa pili, leo ghafla baada ya kutoka church, hali yangu imebadilika sana....Baridi kali, [emoji1784] viungo vinauma kichwa kinauma sana na kutulia...
Mzee kaingia pharmacy,
MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu
naomba uonje nitakulipa
MFAMASIA: Kitu gani?....Mzee
akatoa
kichupa na kijiko akaweka majimaji
yaliyomo kwenye kichupa kwenye
kijiko na...
John ni mrefu zaidi ya Kitty na Carol, Kitty ni mrefu kuliko Sam, Kitty na Sam ni warefu zaidi ya Nancy na Sam ni mfupi kuliko Carol.
Je, nani ni mfupi zaidi kuliko wote??
Sent from my SM-J500H...
Ikitokea kuna mtu anajitokeza kununua ID za jf, wewe yakwako utaiuza kwa shilingi ngapi?
Don't be bias, sema tu kwa uonavyo wewe thamani ya ID yako kwenye platform hii.
Maana kuna watu...
Habari!
Simba Sc maarufu kwa majina yao ya wamatopeni toka kipindi cha Jerry Muro, na kwa sasa wanatambulika kama Paka Fc/ Mikia.
Hawa jamaa wasiposhinda mechi zao zote mbili kwa As Vita basi...
Ilikuwa siku ya uchovu kwangu baada ya kumalizana na shemeji yenu ma vishughuli vya mjini nikaona nijichanganye kwa waswahili wenzangu ktk ufukwe wa Umma wa coco beach hakika Jpili ya leo...
Habarini wana ndugu,
Nataka kujua eneo/ sehemu nzuri ya kula chakula (inayopika chakula kizuri) na kwenye mandhali nzuri iliyotulia.
Ningependelea zaidi maeneo hayo yawe kuanzia Mwenge kuelekea...
Kama mwenyekiti wa Chama cha Wanaume Wa Shoka Tanzania nasikitishwa sana na hali ya hivi sasa ya baadhi ya wanaojiita wanaume, unakuta mwanaume kabisa kafungulia radio na anacheza kabisa kwa...
MAHUSIANO YA KIZUNGU
Siku ya 1[emoji1314] unatongoza [emoji7]
Siku ya 2[emoji1314] mahusiano [emoji131]
Siku ya 3[emoji1314] unamkumbatia [emoji127]
Siku ya 4[emoji1314] unambusu [emoji8]
Siku ya...
Namaliza mwaka 2017 naingia mwaka 2018 jamani kama kuna mtu nimewahi kumkosea humu anisamehe.
Naona itakuwa vibaya kuuanza mwaka 2018 nikiwa na vinyongo na gubu moyoni hivyo naombeni mnisamehe...
Wenzangu nipo hapa mji wa Coom,kuna kajua kameanza kuchomoza ,na kajoto kwa mbali
Nipo Manora street karibu na pub moja hapa mkabala na HSP
Watu wa East Africa tukutane tupeane za nyumbani
Jamaa alikuwa amekaa ndani ya club Changudoa akamsogelea na kumwuliza,
"Unataka mambo yetu?"
Jamaa akamwambia, "Ndio. Lakini, unaweza kunipa kama mke wangu?"
Changudoa akamjibu, "Hapa usipime...
Ndo kwaanzaaaa tarehe moja....
Mwezi bado mchangaaaa...!
Ndo kwaanzaaaa jumatatu, wiki imeanza hiviii.....
Laaambwaaa laaambwaaaa
Lambwatikaaaaa....
Maharage yako jikoni nimeshayapika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.