Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza hata...
Habari yako mwana JF
Leo nimekuja na uzi wa kujadili "hasara na faida za marafiki katika mafanikio yetu". Kama tunavyoelewa watu ambao tunakaa nao kwa muda mrefu ni marafiki zetu, je Wana chachu...
Habari wakuu.. kwanza kabisa ningependa kumshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine siku ya leo.. Ahsante kwa wazazi wangu wote wawili.
Umri unaenda kasi mno tusijisahau kwenye mambo ya msingi...
Wana jf salaaaam!
Kisa chenyewe.
Kuna siku wazee flan walipita maskani wakasema wanaenda porini kusaka kitoweo, nilivyosikia hivyo kidume mate yakanitoka hata kabla hatujakipata kitoweo...
Jf tuko na nyie mama zetu, shangazi zetu Bibi zetu, ila ni familia moja dizaini km vile tuko na washikaji zetu.
Nawaheshimu wote kwa wale mashemeji zangu na mama zangu wadogo wakiongozwa na...
Nimetembea nchi zote hizi zinazotuzunguka hamna nchi Tamu Kama Tanzania hii nchi laini sana just imagine unazaliwa kwenye familia ya kimaskini ila probability ya kutoboa inakuwepo.
Nenda Kenya...
On this valentine day I wish a happy birthday to the voice of TP OK Jazz (1973-1993). Josky went through Dr Nico's African Fiesta Sukisa and Orchestre Continental from where he joined TP OK...
Estern tulikutan jf ni rafiki angu ambaye nampenda sana tulipishana kidogo jamani tukagombana kama Estern unasoma huu ujumbe nisamehe rafiki angu ni hasira tu No yako nilifuta naomba uni inbox...
Habari.
Hivi humu kuna wadada?? Wale wazuri wazuri wadogo wadogo. Below 30? Sidhani.
Kwa sababu namna nnavoiona hii jf haiendan na wadada warembo.. warembo wengi watakua insta na snaptchat huku...
Habari wana JF,
Mimi ni mzaliwa wa Arusha tena mjini(manispaa) Ungalimited, nimekuwa pale nakamaliza elimu yangu yote hadi advance mwaka 2017
Nimeshuhudia vibaka wengi wakiwaliza watu mali...
Haya mambo hayana ukubwa!
Kichwa kidogo kikisimama, cha juu kinasanda!
Wadau, naomba kujuzwa!
Ni namna gani marais na wafalme huomba gemu?
Ikumbukwe raha ya hizo mambo huwa tamu kwa wahusika...
Ishi maisha ya utajiri unaotokana na ushirikina hata iwe kwa masharti ya kuishi muda mfupi mfano mika 10 hadi 20 ya kula bata kwa sana. Ila baada ya hapo ufe.
Au
Uishi maisha yako kwa muda mrefu...
Mbwa akiwa mlinzi kuna wanaokumbuka kumjengea kennel lakini mbwa wengine wanalala barazani au chini ya mti kwenye kivuli. Mvua ikinyesha anaachwa apambane na hali yake. Kuna wanaokumbuka kununua...
Hill ni shairi la kuisifu chattle lote nimelitunga mwenyewe isipokuwa mstari mmoja nimeuotoa kwenye comment ya memba mmoja kwenye uzi Fulani.
Chattle imekuwa chuma.
Chattle imekuwa chatu.
Chattle...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwini Mollel amesema kwamba Corona kwa Tanzania imedhibitiwa, Serikali imetumia Bill. 28 kwaajili ya kununua vifaa vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.