Wasaaalam!
Kwa kweli hapa naweza kukiri maumivu ya kupoteza hela ni makali sana ilishawahi kunitokea...
KISA CHENYEWE.......
Kuna siku kidume nimetoka zangu maskani uswahilini, nikiwa naelekea...
Tunapoendelea na msiba huu hasa leo tunapofanya rasmi maziko. Nikitoka huku ntakuwepo Mwanza kwa siku Mbili tatu. Mpaka Jumatatu ntaondoka na ndege. Sikuja na gari Binafsi.
Nataka kujua kuna Car...
Yaani kkoo sasa hv mitaa ya maduka ya simu kuna pisi yaani zile pisi za promotion za heineken, whindhoek zinasubiri. Yaani jamaa anayeaJiri hao viumbe anapointi vitu hatari, yaani ukute wamepiga...
Wadau poleni kwa msiba.
Nazungumzia ubuyu unaotumiwa kama tunda au chakula ukipendwa zaidi na wamama na ukiwa na rangi tofauti tofauti maarufu zaidi rangi nyekundu.
Ninapenda jua kama ni sahihi...
Hahahaa! Inauma ila tamu. Mimi ni driller by profession so hii nchi nimezurura mno Alhamdulilah, kote nilipozurura napanyooshea mikono Moro Town.
Siku hiyo nakula gambe mitaa flani jirani na...
Baada kuachana na ex girlfriend wangu, siku moja nikiwaza sio mbaya kumjulia hali.
Me; habari yako (jina lake)
Ex; don't follow me i 'm another man now
Jamani wana JamiiForums habari zenu?
Kuna mkasa ulinikuta nikikumbuka nacheka sana[emoji2][emoji2].
Jumamosi moja niliamka ikiwa siku njema sana, ila ilipofika jioni mambo ayakuwa sawa, ishu...
Wadau natumai mko poa..
Nimebahatika Kutembelea Cairo hapa Misri kwa Ma pharao's.Nipo mitaa ya Ramses hapa.
Nina siku mbili katika Jiji hili la Waarabu kama kuna Mtz yuko hapa lets keep in touch...
Kwa ninavyowajua Marehemu wengine ( hasa Kisaikolojia ) walipokuwa Kamili ( Hai na Kinguvu pia ) kuna uwezekano Waombolezaji tungeumbuliwa nao, tungewambwa ( tungezabwa Vibao nao ) na kuna...
Haya leo tufanye ni siku ya kudedicate mtu yeyote kwa kutumia rangi, taja jina la mtu yeyote kwenye platform then mpe rangi yake unayoona anastahili kwa upande wako..
Hizi ndizo rangi...
Unakuta Kundi Kubwa la Watu ( Waombolezaji ) muda wote tu wakiwa Msibani au katika Uwanja wote huwaoni Wakilia tena Macho yao huwa ni Makavu kabisa, lakini wakiona tu Camera za TBC1, ITV na Azam...
Wakuu,
Baada ya kusikia kiwanja changu pendwa lachaaz kuungua moto, sasa nipo njia panda ni kiwanja kipi mbadala kwa maeneo ya sinza?
Nataraji kufika jijini, hapo awali sehemu niliyokuwa...
Nimelewa sana, naandika nimelewa tu hadi nimeshindwa kudrive
Nipo bar moja hivi maeneo ya kimara (jina kapuni)
Nimelewa kusherehekea ushindi mmoja hivi (siri yangu msinizoee mataga ila washajua)...
Kuna mwizi aliingia nyumba flani kuiba, mwenye nyumba alikuwa ni hohehahe kupindukia kiasi ambacho hakuwa na shati wala tshirt, maisha yake yote alikuwa anashinda kifua wazi.
mwizi baada ya...
Hainiingii Akilini kabisa niliyeko Beach tena Wilaya ya Kishua kabisa ya Kinondoni naonekana nipo Mkoani halafu wa Kitunda Mwanagati ( Ilala ) aonekane anatokea Jijini. Huku ni Kudhalilishana tu...
sikujua kama kuna VIJANA WAKALIMU Kiasi iki jamani yaani muda huu ndo nimeshuka hapa MBEZI stendi sasa naona KIJANA kanisaidia kubeba BEGI langu, japo anatembea KASI ila sina shaka maana amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.