Men are in loving relationship with wife (conference in a church).They were asked how many of u love your wife,they all raised their hands.They were told write ths text and send 2 your wife"I LOVE...
Mvuta bangi alijiona uchi akadhani amevaa suti akauliza wenzake suti imemtoa aje . Mmoja waoakamjibu poa sana ila tu tai umefungia chini sana.
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe
"Nikiangalia kopo...
Baada ya kuwa baba kijacho kwa miezi 9 sasa hatimae muda si mrefu mungu akijalia mkono wake wa neema natarajia kuitwa baba fulani....
Kwangu mimi mtoto ni mtoto haijalishi awe wa kike/kiume wote...
Tokea mwaka 2016 hadi mwaka 2020 zinepita Sikukuu nyingi ila nimeshangaa ( nimejishangaa ) japo sina Hela na wala sijala Pilau leo achilia mbali Soda lakini Pasaka ya Leo nimeufurahia na Kujikuta...
Wanasaikolojia wa JF nisaidieni katika hili tafadhali kwani nimetoka kusikia Habari nzuri sana na niliyokuwa naisubiria kwa hamu kutoka Ikulu ya Marekani kupitia CNN yao.
Ni kama mdaalo kuhusu faida na hasara za kutumia simu kwa wanafunzi mashuleni na hata nyumbani lugha ni kiswahili na kingereza
KARIBU MTU KANYE
TUJITETEE.
Mwili wa mtu mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 35-40 umekutwa ukiwa unaning'nia juu ya mti, akiwa amefariki kwa kujinyonga.
Kijana huyo mtanashati alitambuliwa na majirani kuwa...
Hii kampeni ya visit Tanzania imebackfire, balozi anapiga wageni badala ya kuwakarimu. Siku nyingine tuwe makini na watu tunaowapa majukumu ya kuwakilisha/kutangaza nchi.
Habarini wanajamvi!
Kwa wale waliguswa na msiba poleni.
Niliwachoshe naomba nieleweshwe kwa swali langu hili.
Kwenye pombe hizi kali (Konyagi, K Vant, Vodka nk) kuna utofauti wa ujazo lakini...
Nilikua Niko kwenye maombolezo,sasa nasitisha maombolezo kuanzia usiku huu nitafanya sherehe kwa siku 21 kwa matokeo ya Leo ya Simba dhidi ya As Vita .
Respect yourself this holiday
If you dont know English just type "HAPPY EASTER"
We dont want see the post like
'HE AROUSED' ,
' HE AROUSEN',
'HE HAS RICED'
'HE ROASTED FROM THE DEAD'
🤣🙆♂️...
Usiku wa kuamkia leo kibaka aliingia ndani na akafanikiwa kuchomoka na decoder ya Dstv, uzuri tukashtuka tukaanza kupiga kelele za mwizi huku tukimfukuza.
Tukiwa tunaendelea kumfukuza mwizi wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.