Leo nimepita Pale Muhimbili Wanapouza Majeneza Kuna Mmoja Nikasikia Anasema Urefu wa Marehemu Unafanana na Huyo Jamaa anayepita.
Dah! [emoji57][emoji57][emoji57][emoji19][emoji19][emoji21][emoji21]
Shakira alimnunulia mtoto wake wa miaka 6 hivi kigari cha kuchezea chenye muundo wa basi. Siku moja wakati Shakira yupo jikoni mwanae alikuwa sebuleni anachezea kile kigari. Shakira akawa...
Wanajukwaa. Heri ya mwaka mpya! Poleni na pilika za hapa na pale.
Uzi huu maalum iwe kwa kuwakumbuka memba wa JF ambao kwa sasa hatuwaoni wakitoa michango yao humu. Iwe ametutoka kiroho au...
Hayati Magufuli nadhani ndiye alikuwa Rais mwenye nicknames nyingi kati ya Marais waliopita
Baadhi ni Jiwe,chuma,malaika,meko,kayafa.......una mengineyo
Je mama ategemee majina yapi?
NB...
Habari.
Bila shaka mmeamka vyema.
Nanena na wanaume wenzangu pamoja na vijana wa KIUME. Kuna ka tabia ka kike kike kanaendelea huko kunako simu na mitandao ya kijamii.
Ka tabia haka ni kutumia...
Hivi wewe ni jukwaa gani humu JF hujawaihi kuingia tangu uzaliwe yaani ukiliona unaliogopa sana au hupendezwi nalo.
Mimi mwenzenu Jukwaa la Lugha na Siasa
Embu fikiria kama viungo vyetu mwilini vingekuwa vinafungwa kwa nati au screw[emoji3]
Sasa siku moja ukaenda kuoga tena ukafungua na machine(kirungu) ili uisafishe vizuri afu mara paah nati...
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa. Akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi. Akawa kila siku...
Kanuni huwa ni moja tu
Ukiondoka kikaoni wenzio wakabaki, wewe ndio utaanza kusengenywa/kujadiliwa na waliobaki.
Salama yako ni kuwa unapoondoka, ondoka na wenzio na kikao kifungwe au EPUKA na...
I am very thankful and grateful to the Almighty for granting me yet another year. I pray for an abundance of grace in my world.
Tho dirisha la kupokea zawadi lipo...
Nadhani mada inaeleweka. Mazungumzo yanaendelea kwa wiki kadhaa sasa, tangu yaanze. Nadhani ni busara kuweka mipango juu ya vitu vitarajiavyo.
Ni matumaini ya Watanzania wengi (kama...
Mwanaume wa shoka ni mvumilivu na asiyekata tamaa. Mambo yakiwa magumu anaweza kupigana na maisha, akiwa na pair moja ya viatu, suruali pair mbili. Anatoka asubuhi iwe jua iwe mvua anahakikisha...
Salute,
Imepita miezi tano na siku 16 tokea mke wangu ajifungue.
Alijifungua 07/01/2019, siku ya jumatatu, tunajua mwanamke akishajifungua basi kuona siku zake za hedhi ni adimu sana.
Leo...
Sio kila wahenga wanakuaga na maneno ya ukweli ...wahenga wengine ni waongo tu
kwa mfano aliyesema
"MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI"
sasa mtu ushamnyonga amekufa hiyo haki yake unampaje...
Haya mambo haya ya kusema korosho ni fitina za mabeberu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejikuta nacheka tu wakati nacheki huo mjadala ikaja korosho moja ina kichwa cha...
Hapo zamani za kale mapenzi Yalikuwa na upofu, Ila Sasa hivi yametibiwa Yanaona pesa na matako tuu.
Ule msemo wa mapenzi upofu ..ukipenda huoni ushapitwa na wakati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.