Kuna video Ina trend hivi sasa ikimuonyeeha dada mmoja akililia penzi la Harmonize.
Hi imekuja baada ya siku kadhaa nyuma kulipovuja mtandaoni video zikiuonyesha Mushobozi wa Taifa unaomilikiwa...
Mamlaka ya Hali ya Hewa ( TMA ) walikuwa very active kutupa updates za Kimbunga Jobo, ila nashangaa kuhusu hii Mvua kubwa na ya ghafla iliyoleta Baridi Jijini Dar es Salaam hawajatuambia na moaka...
Mke Alikagua Simu[emoji336] ya Mume wake Akakuta Majina haya.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji117] Super Woman
[emoji117] My Love
[emoji117] Woman of My Dream
[emoji117] My...
Kichwa cha habari chahusika
Mimi nilipendelea zaidi mchezo wa kombolela
Tule tumbakishie Baba
Mdako
Tobo ngumi
Kombolela
Kujipikilisha
Tayari bado
Kibabababa
Michezo hii ilijenga afya zetu na...
Nimetoka kuangalia mechi ya mtibwa na kmc nikawa navuka barabara hamaaadi semitrailer hii hapa Mimi nikiwa katikati ya lami . Walioniona wakapiga kelele na kufumba macho wakijua nimeshakanyagwa...
Chumbani wamejaa mbu na hivi sina neti wananisumbua sana
Sasa nimefunga mlango wa chumbani nimewaacha wenyewe mimi nimelala sebleni[emoji52]
Muda mwingine tusitumie nguvu nyingi wakati akili tunazo
Pombe hasa zile kali sana
Sigara (kwa ma chain smoker)
kutoa mbegu kwa mkono (punyeto)
chipsi zege na broilers
X (video za ku...)
Bangi na hasa kama hunywi maji
Kujiachia bila kuwa na malengo...
Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
Hebu tujalibu kupiga soga mbili tatu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tuambie siku ambayo ulipigiwa simu nyingi na watu tofauti kuliko siku nyingne zote na sababu ya kupigiwa...
Kwa lugha hii ambayo inatumia symbols na herufi Kubwa na ndogo kwa pamoja za kibangladeshi lakini matamishi yakisikika sawa na ya lugha za kibantu na majina yakifanana sana.mfano:
1: JEbhh Sgsg...
Ilitokea mahakama ya hakimu mkazi wakati mlokole mmoja hivi wa kiume akimshtaki mdada kwa kumtolea lugha chafu za kuudhi kwa njia ya sms katika simu ya mkononi, ikafikia muda wa mlokole kutoa...
Nimemiss michezo ya utotoni, kipindi hicho mtu hajali kuhusu maisha wala nini unawaza kula,kucheza,kulala na Kwenda Shule (KKKK/4K )
Basi hapa tukumbushane michezo ya utotoni kwa picha, Enzi hizo...
Nifanyeje nikikumbuka vya huku jf nisicheke peke yangu maana kuna mda unakuta natembea alafu nikikumbuka baadhi ya majibu ya member humu najikuta naangua kicheko peke yangu hadi...
Kuna dada nimevunja naye mahusiano ya kimapenzi ila naye kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka Sumbawanga anayetibu nguvu za...
Kisa chenyewe kilitokea mlimani city kule upande wa chini kabisa kusiko na magari mengi upande wa Sam Nujoma rd.
Tulikubaliana na jamaa yangu tukutane pale kuna mzigo nimpe, lakini baadae...
Habari JF,
Story fupi tu ipo hivi jana usiku mida ya saa 8 na nusu nilitoka nje kwenda road kununua maji ya kunywa asee sasa nafungua tu mlango mkubwa wa kutokea nje niliona ndege mkubwa mno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.