Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Unenda zako mahali, umenyuka pamba zako freshi halafu namna gani vipi umebugi step, umeruka kojo ukakanya nnya 😂😂
Ilinikuta siku fulani ilibidi niwe kauzu nitembee hivyo hivyo..🤣
Ilinikuta siku fulani ilibidi niwe kauzu nitembee hivyo hivyo..🤣
😂😂😂😂😂 Pole mkuu inakera sana. Utatamani umjue mwenye gari nae umvizie umtupie hata yai viza.Jana tuu hiyo nimenyuka Converse Nyeupe .. Oceanic blue denim trouser n Jacket.. Ndani white T-shirt .. Sina hili Wala lile naenda somewhere before nifike .. ilikuwa karibu na nyumbani tuu .. akapita mwehu na Subaru yake Kama risasi kulikuwa na maji yametuama .. machafu dah ... Kitendo Cha sekunde nikawa sitamaniki...😓😓😓😓😓 .
Kwa hasira nikaamua kuingia Kwenye havyo maji machafu nichafuke vizuri.
Ujinga sipendagi