Kama ilivyo desturi ya ndugu zetu Wachaga nasi tumeanza kwenda home Bukoba city kipindi Cha mwisho wa mwaka (kwa njia mbalimbali hususani Ndege-Scheduled and chartered, private expensive cars na...
Wakuu unajua kuna muda unasema ningekutana na mtu huyu basi ningependa kujua moja mbili tatu, basi hapa ni mahala pako pengine ukapata nafasi hiyo.
Mimi binafsi ningependa kukutana na wafuatao...
Habari wanajamii forum. Muda sasa nimekuwa nikisoma na kuandika hapa lakini nimekuja kugundua kuwa hii ndio post yangu iliyosomwa sana na wanajamii forum kwasababu hata wewe umeisoma post hii...
Jana katika page ya Garson Msigwa alijirecodi anakimbia, sikutilia maana nikajua ni swaga tu kaamua.
Jana hiyo hiyo kwenye mitandao ya jamii nimeona clips nyingi za watu wanafanya the same ila...
Ndugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo.
Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka...
Salaam
Naleta mada hii kama chemsha bongo. Huwa natafakari Sana.
Je kama Baba napenda mwanangu wa pekee wa kike mwenye umri Kati ya miaka minane na kumi nambili, napenda kwenda nae safari ya...
FAIDA KUU TATU ZA SIGARA
1.Mvuta sigara hazeeki,
2.Mvuta sigara haumwi na mbwa,
3.Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi...
Ufafanuzi.
1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu...
niaje wana JF....nipo mbeya mjini.nauliza mwenye anajua the best night club in mbeya iwe na amsha amsha,mtu nyomi shoo daily totoz kma zote PLZ ANIFAHAMISHE ILIPO
Nimefanya utafiti kwa miaka kadhaa na kuchukua sampuli kadhaa na nimegundua kuwaa ukipiga punyeto itasaidia kuwa na ngozi soft na laini kama mtoto mdogo hata uwe na michunusi mingi kiasi gani...
Wakuu tupeane ripoti za mshahara wa mwezi katika utawala wa Rais wa 6 awamu ya 5 mama yetu Samia Saluhu.
Ameshalipa? Tujuzane ili wanao dai tuweze kuwavutia waya
Habari zenu binafsi!
karibuni katika kipindi cha search line. Kipindi hiki ni maalumu kwa wale waliopotezana na ndugu /jamaa na marafiki. unachotakiwa kufanya ni kumtaja ndugu/jamaa/rafiki...
Habari,
Naitwa Khamis. Namtafuta rafiki angu tumepotezana ni mwaka sasa na ushehe hatujawasiliana. Sina mawasiliano yake, anaitwa Anamary/ Intisary alikuwa akipenda kujiita Maysara
Alikuwa...
Hassan alikutana na Mary katika mtandao kwa facebook.Wameongea mda wa wiki mbili wakaamua kutana ana kwa ana katika mkahawa.Hassan alikua na shillingi elfu ishinirini, alimlipia Mary nauli ya...
Yaani huwa nashangaa hadi natetemeka, yaani katikati ya tukio kwenye nyumba ya wageni tena show yenyewe inahusisha kikainishi cha KY Jelly, mtu anaanza kuwataja watakatifu utadhani anawaita wadogo...
Ni kawaida kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kila mtu kuwa na mbaya wake au kwa lugha nyingine tunaita mchawi. Mtu ambaye hufurahia anguko lako, mtu ambaye huumia moyo unapoinuka.
Mchawi...
Today is World happy husband Day. Let us maintain 2 minutes silence and appreciate some real life experiences quotes of some great personalities:
After marriage, husband and wife become two sides...
Tokea ale Kiapo chake hakuna Nguo anayovaa isimpendeze na hata isivutie Machoni mwetu Wazee wa Kuchunguza na Kudadisi kila Kitu.
Siyo Siri Nguo alizokuwa akizivaa alipokuwa Makamu zilikuwa hazina...
Basi leo asubuhi nimemuona mrembo mzuri masikini hata hawezi kugombania gari, nikaona hapa hapa ndio pa kuchukua ujiko!
Nikapanda fasta nikawahi siti ya watu wawili halafu nikakaa katikati ili...
Naanza kwa kumshkuru Aliye Juu, Muumba Wetu mwingi wahuruma na mwenye upendo nas sisi.
Kilio chetu jaman hawa dada zetu muda mwingine unakuna labda nipo single kabisa sina mtu wala hata mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.