JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari Ni furaha iliyoje kuiona siku muhimu kama leo, Nawashukuru wazazi wangu kunilea mpaka hapa nilipo Mungu awabariki na kuwapa siku nyingi za uhai wenu na awape afya njema. Namshukuru...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
1. Kuchelewa kulala na kuamka umechoka, ile unataka kujiandaa kuwahi kazini, kichwa kinatulia unagundua kumbe upo off au likizo. 2. Umebanwa sana na haja kubwa au ndogo, ile raha unayopata...
25 Reactions
101 Replies
7K Views
Wakuu humu ndani leo nataka kuwasalimu wote humu, Kama ifuatavyo; •Kama wewe ni member wa JF umo humu kwa zaidi ya miaka mi5 hujawahi kuchezea Bunn 👉Shikamoo •Kama wewe ni member unaandika nyuzi...
4 Reactions
17 Replies
819 Views
Naanza na Man. City, Swansea City, Mlimani City, Stoke City. Endelea
2 Reactions
12 Replies
622 Views
Wakuu mi sijawahi lewa last time 2012 Castle Lite. Leo nimeshtua vijiglass kidogo vya St Anne. Aisee nimepata confidence sio kitoto. Kwanza nimecheza sana, pili nimepiga story na strangers...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Tarehe 1/4 kila mwaka huwa ni siku ya wajinga duniani Binafsi sijawahi kudanganywa kwenye hii siku maana kila anaetaka kuniingia/kunidanganya huwa namshtukia mapema sana na kumwambia kua leo ni...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Hapa ninapoandika uzi huu nipo kwenye gari kubwa semitera nakimbilia Mbeya kujificha kwa muda. Ndugu zangu na wanajamii wa mbeya naomba mnipokee sijawahi kufika huko, ila nina vipesa kidogo vya...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Yaani hapa nimetoka kapa, tangu nazaliwa mpaka nakua sijawahi kufundishwa hiki kitu. Nisaidie kutaka japo maneno matano tu
2 Reactions
27 Replies
2K Views
"Kero za wananchi zitatuliwe, tukija huko tukakutana na mabango, kero za wananchi, bango 1 DC na DED unakwenda" - @SuluhuSamia, April 2021 "Nawakaribisha katika ziara ya siku 3 ya Rais Samia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mambo ni mengi hizi siku mbili tatu kama masikhara Mama kala kichwa cha Chalamila, akiwa huko huko kapita na yule wa Morogoro. Jana asubuhi tu, tukaone Selfie ya Masheikh wa Uamsho na familia...
5 Reactions
6 Replies
639 Views
HabarI zenu ndugu zangu. Katika utafiti wangu nimegundua kwamba wavuta sigara wana tabia kadhaa zinazofanana. Kati ya tabia hizo. Ni ile ya kuvuta sigara kila baada ya kula, Lakini kubwa zaidi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Yaani unakutana na mtoto mzuriiiiiii !!!!, Halafu unasikia anakusalimia eti "SHIKAMOO ",Shit !!!!!!, Alaaah !!!, Mwingine utamsikia "SHIKAMOO BABA ",Wee Tafadhari, nilikuzaa lini ???, Mbona...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo nikuja kikazi Dom, kamji kameDEMKA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] viwanja ni vipya hadi nashaangaa japo nlitoka huku 2015 and neva came back hapa nashangaa maviwanja kama yooote...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
kama ni application ni app gani?
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Mkwere Original tunaomjua na Kumuangalia mara kwa mara hata nje ya Kuigiza na kukutana nae mara kadhaa huko Mitaa ya Kwake Mbezi ya Bonyokwa Yeye kila Kitu tu hukifanyia ' Komedi ' na ni lazima...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Duh, mi siku ilitaka kuanza vibaya nimeamkia hospitals ila Dr. Kanipa dawa kaniambia naweza kuanza hata jumatatu nimezihifadhi sehemu nipo kwenye kaglosari mtaaani napiga Kilimanjaro ndogo...
8 Reactions
248 Replies
12K Views
Wewe binti Huna hela ya pombe, si utulie home? Kutwa kujichatisha WhatsApp na insta kwa waume za watu na kuomba hela ya Pombe, wengine tushachoka na stress za kwenye ndoa ukijichanganya sisi...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Usiku mzima wa jana nimekuwa nafikiria niandike nini au nikwambie nini katika siku yako hii muhimu..! I just can't seem to find the right words to say.. Badala yake nimejikuta nafikiria mbali...
44 Reactions
310 Replies
26K Views
Habari wananzego! Hatimae narudi Dar baada ya kuliacha jiji kwa takribani miaka 7. Nimefanya kazi mikoani kwa muda huo. Sasa narudi jijini. Hodi tena.
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Kibongo bongo ushindani kwenye tasnia ya Muziki kuna D na Harmonize (Alikiba thrown away) Kwenye tasnia ya Vyombo vya habari kuna Wasafi Media na Clouds media. Ila huko Dunia kwenye tasnia ya Ya...
20 Reactions
139 Replies
17K Views
Back
Top Bottom