Mwisho wa mwaka unakaribia. Wanangu wapendwa, naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na kuwaombea wale wote waliotangulia mautini. Nawaombea na kuwaomba tuzidi kupendana kupenda...
Habarini za mda huu wakuu?
Kuna kitu nmekuwa nikikisikia kinachoitwa number of angels or angels numbers mfano ukiona namba imejirudia zaidi ya mara 2 ujue kuna ujumbe unapewa je ni kweli?
Jana...
Ukatae au ukubali asee huu ndio ukweli. Nasema kwa sababu ya uzoefu wangu kama mfugaji wa muda mrefu.
Nimefanya tafiti kadhaa kuhusu hili na nimegundua ndivyo ilivyo.
Jogoo hupenda kutembea na...
Habari zenu wana jukwaa wa jf natumai muko wazima wa afya njema kabisa
Demu wangu ambaye baadae anaweza kuja kuwa mke wangu hataki kabisa nitahiliwe, alishanambia endapo nikitahiriwa basi ndo...
Iwe facebook, instagram, twitte nk. Ni account gani unaona hii kwa kweli ni ya ajabu na unaifuatilia.
Mi kuna hii ya instagram watu toka sehemu mbalimbali duniani wanapost fimbo🤣...
Kwa wale wanaotaka kujaribu maisha nje ya nchi katika sekta hii ya jeshi inaweza kuwasaidia hii
Australia - private anapokea Milioni 6 kwa mwezi
"Sajenti" anapokea Milioni 9...
Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA.
Vipindi vingi vya radio bongo...
Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane
Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu...
Nakumbuka nilianza kwa kuning'nia juu ya paa la nyumba kisha kupush mwili wangu ups&down, then push ups 80 hadi 120 kila siku.
Nikawa nachelewa kuamka sababu mazoezi sikuyazoea hivyo nilikuwa...
Kuna jamaa yangu mmoja aligraduate mwaka jana chuo. Mwezi wa Oktoba akaomba kazi kwenye shule moja ya kimataifa Arusha. Wakati wa usaili, aliulizwa kama ana uzoefu wa kufundisha international...
Habari za mda huu Kuna watu tunajuana nao kwenye maisha ambao ni Bora tusingewafahamu Kuna watu ambao wanapenda kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi mara Fanya ivi mara Fanya ivi na hapo wewe...
Wakuu si kwema kabisa
Kazi za site za ujenzi wa wachina zinafanana na mauaji. Kupandisha na kiroba cha saruji floor ya 4 huku subuhi umekula maandazi mawili na chai ya mia sio poa
Nimeingia site...
Wadau wa jamiiforum natumaini ni wazima kutokana napilika za maisha. Niende kwenye mada nikiwa kwenye pilika zangu nikutanana na mtu, katika kuongea habari mbalimbli kaniambia eti YAI LA BUNDI...
Kuna mikeka nimesuka mitatu ikitiki tu hiyo baasi. Wale mashabiki wa mwamposa hivi huyu bwana anaweza kuiombea kwa makubaliano kuwa ikitiki nitamlipa 5%?
Habari za muda Wana JF. Niende Moja kwa Moja kwenye mada, Leo nimeamka nikiwa mchovu sana +hang over ya mapombe ya Jana tulivyofungwa na wale waarabu.
Siku na mood kabisa ya kufanya kazi...
Binafsi niliwai kufanya tukio la "Kugonga kengele ya kuwaita wanafunzi tena assemble wakati mwalimu wa zamu alishawatawanyisha wanafunzi"
Niligonga halafu nikakimbia nyumbani watu wakakusanyika...
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka...
Huyu kwa wanaokumbuka enzi hizo alisaidia wengi sana magonjwa mbalimbali
Sijui kilichotokea aweki tena mada zake humu popote ulipo dk njoo usaidie jamii inakukumbuka sana
CC Dkt. Mzizimkavuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.