JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wilayani kwetu (Mbarali-Mbeya) tuna kula mboga za majani zenye majina yafuatayo: 1.Nyanganji 2.Nyaheji 3.Nyundurwa 4.Fwiwi 5.Nyamabomba 6.Nyakunde 7.Nyalande. 8.Nyamadela. 9.Magulumelu 10.Nyasandwa
2 Reactions
80 Replies
20K Views
Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza hata...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari yako mwana JF Leo nimekuja na uzi wa kujadili "hasara na faida za marafiki katika mafanikio yetu". Kama tunavyoelewa watu ambao tunakaa nao kwa muda mrefu ni marafiki zetu, je Wana chachu...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Habari wakuu.. kwanza kabisa ningependa kumshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine siku ya leo.. Ahsante kwa wazazi wangu wote wawili. Umri unaenda kasi mno tusijisahau kwenye mambo ya msingi...
4 Reactions
9 Replies
671 Views
Wana jf salaaaam! Kisa chenyewe. Kuna siku wazee flan walipita maskani wakasema wanaenda porini kusaka kitoweo, nilivyosikia hivyo kidume mate yakanitoka hata kabla hatujakipata kitoweo...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Jf tuko na nyie mama zetu, shangazi zetu Bibi zetu, ila ni familia moja dizaini km vile tuko na washikaji zetu. Nawaheshimu wote kwa wale mashemeji zangu na mama zangu wadogo wakiongozwa na...
2 Reactions
5 Replies
483 Views
Nimetembea nchi zote hizi zinazotuzunguka hamna nchi Tamu Kama Tanzania hii nchi laini sana just imagine unazaliwa kwenye familia ya kimaskini ila probability ya kutoboa inakuwepo. Nenda Kenya...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
On this valentine day I wish a happy birthday to the voice of TP OK Jazz (1973-1993). Josky went through Dr Nico's African Fiesta Sukisa and Orchestre Continental from where he joined TP OK...
0 Reactions
2 Replies
676 Views
Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf
3 Reactions
4 Replies
433 Views
Leo ni moja Kati ya siku muhimu sana kwangu ...Nimeongeza mwaka mwingine ...A very happy birthday to me Thank you Lord ,[emoji120].....
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Rubber band, tunaita Barabendi. Goods train, tunaita Gusi. Check line, tunaita Chekeleni. Hospital tunaita sbitali. Sindano tunaita shindano. Na wengine mwageni re-mix za kwenu.
3 Reactions
84 Replies
14K Views
Estern tulikutan jf ni rafiki angu ambaye nampenda sana tulipishana kidogo jamani tukagombana kama Estern unasoma huu ujumbe nisamehe rafiki angu ni hasira tu No yako nilifuta naomba uni inbox...
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Habari. Hivi humu kuna wadada?? Wale wazuri wazuri wadogo wadogo. Below 30? Sidhani. Kwa sababu namna nnavoiona hii jf haiendan na wadada warembo.. warembo wengi watakua insta na snaptchat huku...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wana JF, Mimi ni mzaliwa wa Arusha tena mjini(manispaa) Ungalimited, nimekuwa pale nakamaliza elimu yangu yote hadi advance mwaka 2017 Nimeshuhudia vibaka wengi wakiwaliza watu mali...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Haya mambo hayana ukubwa! Kichwa kidogo kikisimama, cha juu kinasanda! Wadau, naomba kujuzwa! Ni namna gani marais na wafalme huomba gemu? Ikumbukwe raha ya hizo mambo huwa tamu kwa wahusika...
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Ishi maisha ya utajiri unaotokana na ushirikina hata iwe kwa masharti ya kuishi muda mfupi mfano mika 10 hadi 20 ya kula bata kwa sana. Ila baada ya hapo ufe. Au Uishi maisha yako kwa muda mrefu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbwa akiwa mlinzi kuna wanaokumbuka kumjengea kennel lakini mbwa wengine wanalala barazani au chini ya mti kwenye kivuli. Mvua ikinyesha anaachwa apambane na hali yake. Kuna wanaokumbuka kununua...
4 Reactions
9 Replies
985 Views
Hill ni shairi la kuisifu chattle lote nimelitunga mwenyewe isipokuwa mstari mmoja nimeuotoa kwenye comment ya memba mmoja kwenye uzi Fulani. Chattle imekuwa chuma. Chattle imekuwa chatu. Chattle...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau... Nimejichanganya na mwanamke Mweupe wa Kiarabu... Yaani nimeshapishana nae sana. Nimemkuta sehemu ambazo ni hatari ila bado huniambii kitu.
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwini Mollel amesema kwamba Corona kwa Tanzania imedhibitiwa, Serikali imetumia Bill. 28 kwaajili ya kununua vifaa vya...
1 Reactions
3 Replies
764 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…