Bila shaka kichwa kimeeleweka. Ni nani humu jf ambae anaweza kujitokeza kutuambia kwa ufasaha radha halisi ya sigara ambayo ilimpelekea yeye ama rafiki yake kushawishika kuifyoza pasinashaka...
Habari za mchana wana JF,
Kuna siku tulikuwa darasani tunapiga kelele kinoma tena mm ndio nikiwa kiongozi wa hayo makelele tena nikiwa nimekaa dawati la mbele kabisa.
Wakati huo nipo kidato cha...
Utarogwa kwa kumpa hela, ili usiwape watu wengine hata wazazi wako, umpe yeye tu.
Utarogwa kwa kumnyima hela, atakuendea kwa mganga ili uache ubahili, anahisi unahonga nje.
Ataroga ili umpende...
Kwa mara tatu mfululizo kuna paka amekuwa akiingia kwenye stoo yangu nyumbani kupitia dirisha dogo lisilo na shutter na kujisaidia mlangoni
Yani siku inafuata ukifungua mlango wa store unakutana...
Jamani hela imepotea hii week kila siku afadhali ya jana.kila sehemu huku kwetu watu wanasema hawana hela hata Hapa kwenye biashara yangu wateja wamepungua.. mjini nako pagumu TRA Wamebana.
Sent...
Hili Ni swali kwa wanawake Tu wenye kusoma biblia na qurani wanaoijua habari ya binadamu wa Kwanza Sasa nataka nijue maono gani pale waga mnaonyeshwa na roho ya MUNGU ya kweli maana sote...
Kuna kitu hakiko sawa sijui niseme katika atmosphere maana hali ya hewa imekuwa nzito nzito sio Kama zamani.najua tuko wengi ambao kupumua kwetu kwa sasa Ni kwa shida.nahisi hata Kama sio korona...
Kutokana na pira biriani kuku linalooneshwa na Mnyama pamoja na usajili wa viwango vya SGR,
Tunaomba uongozi wa Azam media uhamishie mechi zetu ktk channel ya ESPN1 au ESPN2
Kuendelea kurusha...
Wana JF nisaidieni.
Pia wataalamu au wanojua mnifahamishe. Kwamba form Four wamemaliza mitihani na form Six wanamaliza mitihani yao mwezi wa pili mwaka kesho 2012. Lakini wote hao wangeoa, kuolewa...
Katika kutafuta tafuta station, nimejikuta niko cloudsfm. Kipindi kinaitwa ala za roho. Kitambo kidogo, nilikua nasikiliza kipindi kiss fm chini ya Toby the splash. Yule presenter alikua na...
OOH HAPPY DAY ..lalalalalalalalalalaaaa lalalalalaaaa Siku imeanza vizuri sana Thank you Jesus kwako kila goti litapigwa,nakula double kicks za kutosha huku nikiangalia movie ya UNDERCOVER BROTHER...
Habarini natumai wote mu wazima hapa nimeusukuma huu uzi ili tujuzane kipi bora kwako kati ya blue mode katika jf na dark mode kiupande wangu dark mode ni bomba sana kila secta katika simu yangu...
Kutokaana na mabadiliko ya dunia yanayoendelea na janga la homa kalini wakati muafaka wanandoa mnapochagua dada wakazi awe sio tu kazi za nyumbani awe msaidiizi pia wa mama wa nyumban pale...