JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, Kuna best yangu moja anaishi Mbande Mbagala majuzi mida ya saa 8 usiku kakimbia kwa miguu kutoka mbagala mpaka Kariakoo sokoni. Picha kamili ilikua hivi: Huyu best yangu anakata sana...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari za humu ama za toka juzi jana na leo😜 leo nipo Ze club Musoma ghorofani nakula life tu nani kama mimi. kama member upo humu nyanyua mkono kwa mbali mbali sema tu kwa nguvu zote piga...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Naomba anaye jua anipe Asili ya Jina la Njelekela Lina tokana Na Kabila au Jamii Gani.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wengi walikuepo na wakaondoka Kama vile wakina nokia83,faizafoxy,Masai dada na wengineo Wengi tu Ila wote hao hakuna anayefikia viwango vya Mshana linapokuja suala la utu na uvumilivu hivyo ni...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Nina uhakika humu ndani wote mnatumia miswaki ya tangu mwaka jana
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwezi wa Saba mwaka 2020 ndani ya wiki moja nilimtumia mtaji wa sh 250/=Tsh nikasuka mkeka wa mechi 21 Total odds 69,000+ Possible won 36m Kodi ya SERIKALI 7+m Take home 28+m Siku ya kwanza...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Tafiti: Watu wanaopendelea simu za iPhone ni wanawake wasio na wapenzi kati ya umri wa miaka 18-34 ambao mapato yao ni chini na huwa na elimu ya kiwango cha chini ikilinganishwa na watumiaji wa...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Habari za muda, Kama kichwa cha mada kinavyosema. Tupe list ya majina ya wasanii au waigizaji au watu maarufu wa3 kwa hapa bongo au duniani kote ambao unatamani leo kesho kuwa nao kimahusiano...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
MAISHA NA MAAJABU YAKE [emoji818]Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone [emoji818]Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme [emoji818]Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna sisi ambao tunarudi mashuleni kuanzia leo hadi juma tatu, kama watu wenye busara na fikra endelevu tushaurini vyakuvifanya ambavyo sio vya kufanya kwa mafanikio kujenga taifa amina :)
1 Reactions
63 Replies
4K Views
Nilikuwa Nacheck game ya Simba kwa baba mwenye Nyumba ambaye ni shabiki wa Utopolo FC. Nimeshindwa kushangilia maana baada ya goli nimeonekana na uso wa tabasamu, Mara nikamwona kasimama kaingia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nakumbuka tulikuwa tumetoka Kibaha tukashuka pale mbezi stend kuu ilikuwa ni mida kigiza ndio kinachukua nafasi yake kuelekea kukamilisha siku Sasa bhana tumesubiri zile coaster za kuja huku...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
In two laguages make us happy.you have to think of it before. :) Eg. How did an elephant tell to a naked man?. that how can you breath with that thing?
3 Reactions
19 Replies
1K Views
.........
1 Reactions
3 Replies
671 Views
Habari wakuu. Leo naomba kujua debe 1 ni sawa na kilo ngapi? Natanguliza shukrani!.
0 Reactions
22 Replies
26K Views
Habari yenu wazee wa kazi ! Bajeti yangu ya leo ! . . . . Asubuhi SUPU YA KUKU WA KIENYEJI NA FANTA PINEAPPLE Mchana MIHOGO YA KUKAANGA NAKITIMOTO NUSU Usiku BIRIANI na PEPSI ya BARIDI K ya...
1 Reactions
5 Replies
727 Views
habari zenu wana jamvi..leo nimekumbuka mziki wa kikongo ulivyotamba enzi hizo..bendi ya Extra musica chini ya Uongozi wa Rogaroga ilitikisa sana. Tukumbushane nyimbo zao zilizotamba tukianza na...
1 Reactions
28 Replies
14K Views
Nimezunguka 1, The Element 2, Havock 3, Maisha club 4, The Legend But ninaona maDj wanapiga nyimbo za kubembelezana yani hakuna clubing vibes! Kibongobongo baada ya kufa Bills na Savana ninaona...
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Kama umewahi kukumbwa na kitu kama hiki karibu tushauriane nn tatizo la huu mtandao au ndo namna ya kujiongezea kipato chao
1 Reactions
14 Replies
704 Views
Wanawake bwana huwa ni viumbe wa aina yake kama mambo yao yalivyo tu. Unaweza mkuta katulia zake ukafikiri kuna jambo moja serious Sana analifanya kumbe, Ataperuze picha kulingana na tukio...
10 Reactions
41 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…