Kumekuwa na kauli mbiu maarufu mitano tena. Je kwa kuwa muda unaenda tuendelee na kauli hii au tupunguze kulingana na muda? Mfano minne, mitatu, miwili nk
Habari za humu wajameni!? Kila kitu kipo good oke.
Wajameni naona siku hizi kuna huu msemo sio kwa wanaume wala wanawake tena kwao ndo umezidi kwamba ukituma hela utume na ya kutolea.
Sasa...
Wadau aiseee ebu wataalam waelezee kidogo uhusiano uliopo kati ya mbu na sikio manake mbu anataka damu so inabidi akungate sasa hii kulia sikioni yaani anauzi atazunguka koote atarudi sikioni...
Wadau,
Aisee naona walevi wa siku hizi wamestaarabika kuliko wa zamani aisee sijui walevi wa zamani walikuwa wanatumia vilevi gani, yaani Siku kama ya leo mtaaani ni vurugu mpaka wazee...
Sina zaidi ya salaam maana naona ata uvivu kuandika, nasema haiwezekani
Leo nipo nimelala zangu kitandani mara naskia Mwaaaaa nakurupuka ni nini nakutana na kitu maji yamejaa kitandani sio...
Wakuu kwema?
Nataka kumzawadia Raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli zawadi ya mwaka mpya, nataka kumzawadia kreti la bia.je huwa anakunywa bia kweli?
Asanteni
Wakuu natafuta pacha wa kike ambae atakuwa anatumia avatar hii ya kike ambayo inafanana na avatar yangu!😁😁😁Sifa kubwa awe na tamaduni kama za kwangu hapa jukwaani na awe ni mdada🤗.Kama unataka...
Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali Bikra
Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimetokea kumuelewa huyu member wa humu Jf, anaeitwa ledada, Kama utaisoma hii posti ledada jua nakuelewa sana, na npo tayari kukuoa kwa gharama yoyote ile...
Inasemekana kila binadamu ana ka uchizi ndani yake level ndo hutofautiana na chizi sio mpaka aokote makopo!
1. Kama umewahi kushika kopo la maji bafuni na kuhesabu 1, 2 mpaka 3 ndo ukajimwagia...
Tuachane na majina ya id na tuachane na majina binafsi tuliyopewa na wazazi leo tutaje A.K.A zetu au "also known as" tunazotumia mtaani, yawezekana ni mtaani au nyumbani kwenu au hata sehemu...
Habari wadau!
Maisha sio fair, watu pia hawapo fair.
Inabidi kutafuta pesa mpaka akifa mbwa wako watu wakupe salamu za pole na kukutumia rambirambi.
Leo hii kuna watu walipata ajari kwenye gari...
Msichana aliyekuwa na wewe kwenye mahusiano kipindi huna kitu, kapuku kabisa na Mwanamke aliyekusaidia wewe ukaja kuwa mwenye pesa tajiri mkubwa, yupi kati yao utamuoa?
ME: Mwenye Wowo kubwa...
Husika na mada tajwa
Kwa mwenye elimu hiyo anifundishe,
Kwakuwa kila mtumishi / mwajiriwa ni lazima awe na hiyo TIN namba . Mwisho ni december 31 2020.
Nawasilisha.
Nikinywa pombe labda za 30000 usiku Basi lazima kesho nitajuta kutumia hela vibaya ila nikisema nisinywe kabisa labda nipumzuke week Basi nakosa hela kabisa hata ma deal nakuwa sipati..Kuna...