Tumelala polisi baada ya jana usiku mida ya saa nane usiku tulikuwa kwenye bar jilani na mitaa ya nyumbani wakati tumo ndani kuna jamaa akaja kututonya kwamba kuna difenda nje walio kuwepo inje...
Heri ya sikukuu ya Christmas na Mwaka Mpya!
Hivi kuna ukaribu upi wa hizi mvua zinazonyesha siku ya sikukuu ya Christmas?
Hata kama kuna jua kali kupika kiasi au hali ya ukame ila ikifika Tarehe...
Habarin Wadau, kufuatia ukuwaji wa sayansi na teknolojia ktk sekta ya mawasiliano kumepelekea ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii including JF. Mitandao ya kijamii ni platform kukutana...
Twende kwenye mada
Moderator naomba huu uzi umsiiunganishe na uzi ule wamwanzo
Issue iliyomkuta kijana mwenzetu mpambanaji Mr kuku kiukweli alijipanga Sana kuakikisha anafikia malengo yake...
Ni baada ya Jana kukataa mizinga kama mitatu hivi.
Basi mademu wote wamenisusa,[emoji3]
Wamekwenda kwa wenzangu wenye nazo.
Hapa napata zangu ubwabwa kwa mgahawa nkalale.
#Vijana tafuteni pesa...
Heri ya sikukuu ya christmass na poleni kwa majukumu
Naanza kwa kusema hivi ni kwanini mwanamke akiona ela na akiwa anaiangalia macho yake huwa yana ng'aa sana na yana simama kwa sekunde kadhaa...
Tunateseka sana wanaume unakuta mdada anatembea harakaharaka huku anakatika makusudi kabisa hii sio sawa.
Tembeeni kwa wastani msinyumbulike sana, yani kule sio kutembea ni kukatika kiuno...
Wakuu taangu jana nilikua katika trials kuchek what it feels mtu akivuta bangi nikaenda kwa mwana kununua halafu akaninyongea kabisa nikarudi geto mida ya saa 3 jioni nikafungua mlango kisha...
Habari zenu wadau,samahani sana naomba kujuzwa kwa wale wanaofanya kazi TPDC au hata wasiofanya kazi huko lakini huenda wakawa wanafahamu huu mshahara wa ( TPDC Scheme of service in the salary...
Jamani eeeh kwanza habarini za muda huu
kiukweli tangu nianze kuujua na kuula wali aise hakuna kitu nakikubali kama ukoko, Narudia tena kwa msisitizo hakuna kitu nakikubali kama ukoko sijajua kama...
Dah! Nimekuja mkoa hapa nilifika jana.
Nmefkia lodge kwa babu ntaenda kesho. Nakula maisha kwanza
Maana nmeambiwa kijijni kumefurika huko, mi ntaingia keshoo
Hapa nampanga binamu. Kwanza huyu...
Kwa uchumi wa kati huu wa Magufuli.
Bila kupoteza muda nimeamua kubudget pesa ya sikukuu mapema kabla shetani hajaingilia kati kupitia kichwa cha chini.
Pesa ni elfu kumi na mbili tu...
Wakuu habari ya mida!embu tupunguze stress kidogo maana maisha Ni haya haya Sina badilika tarehe tu. Nikweli tumepitia mengi Ila katika vilivyo niharibu tokea nikiwa mdogo kwangu Ni hivi...kamari...
Yaani uko kwenye shughuli ukumbini alafu wewe ndio dj wa shughuli ile shughuli inaanza ndo unagundua ex wako mlioachana ndio bwana/bibi harusi je?nyimbo utakazo piga ni hizo hizi kama...
Wanasemaga kuishi ni Mara moja tu.
Sasa why nijinyime?
Nimeuza kiwanja cha urithi cha baba ila bado Niko kwetu ,tutabanana hapo apo kwetu tu..
Hii pesa myzangu mje mnidange xmass kesho kutwa ...
Vigezo na mashart kuzingatiwa
Thread lazima iwe kati ya 1dec 2020 mpaka 1.1.21
Jukwaa lolote
Yenye views weng
Yenye likes nyings
Yenye pages nying
Yenye comment nying
Ni ipi???
Muda...
Wakuu baada ya kuuza kiwanja
Wadada wamenidangia pesa zote za kiwanja cha urithi..yaani nimeuza Jana tu
Saivi nimebaki na 600 ...!
Xmas usinifanyie hivyoo jamani ntakula wapi sasa ...?
Lakini...