Yeah Its another refreshing game again a little bit difficult buy enjoyful.
Its simple you just have to Write the Long Forms of the Abbreviations any person would recommend..
In all aspects...
Nikiapishwa tu siku hiyo haraka narudi Ikulu naagiza wamlete Sanchoka aje kwa week moja tujadiline naye changamoto mbalimbali zinazohusu wanawake hasa vijana wa Tanzania.
Nataka nipate week moja...
Umofia kwenu wana JF,
Leo nimetimiza miaka mi8 tangu nijiunge ramsi ndani ya JF na miaka 10 tangu kuijua JF,shukrani kwa members wenzangu,mods kwa ushirikiano wenu,Nimekula ban mara moja tu siyo...
#UNAAMBIWA: Unafahamiana vizuri na Inzi Sio?
Sasa kwa mujibu wa Utafiti wa Bar- Ilan University Nchini Israel Inzi hunywa pombe pale ambapo Wanapata Stress za kimapenzi😅😄
" Kama ilivyo...
Kwanza kabisa nimefurahi sana hawa jamaa wamepiga mzinga😀😀 Disney mjanja sana anataka yeye ndio abaki kua Tycoon wa kutengeneza na kusambaza filamu. Kila Kampuni ikijitokeza inatengeneza muvi...
Habari wana JF
Miaka inaenda na siku zinazidi kusogea. Miaka hiyo kabla redio hazijawa nyingi redio Tanzania ilikuwa ndo imepamba moto.
Je, ni kipindi gani kilichokuvutia wakati huo ambacho...
Greerings Earthlings,
Nimefanya research ndogo isiyo rasmi nikagundua haya
First borns
*Wachapakazi
*Providers kwa familia (wakifanikiwa)
*Wana exposure kubwa sana kwasababu wanajituma
*Sio...
Wadau naulizia restaurant yenye chakula kizuri ninapoweza kwenda na mwenza kupata chakula cha mchana au dinner. Napendelea zaidi seafood, na itakuwa nzuri zaidi restaurant ikiwa maeneo ya beach...
Kuna mwanandoa mmoja anasema "oa ili ujue kwanini unahitaji mchepuko" hakuna watu malaya kama waliooa, kama kabla ya ndoa ulikuwa una wanawake wawili basi ukioa utakuwa na wanawake wanne.Mliooa...
Labda mtu azikopi mwenyewe
Au nizikute kwenye hiyo disk
Au nizikilize radion
Au zitumwe kwenye .agroup.....
Yaani inshort ..sizielewagi tu...
Katika nyimbo zake 1000+ nilizozisikiliza ni 3 tu...
Maisha ya shule jamani!
Nipo hostel room tupo wawili wawili jamani mwezangu hajui kununua ndala za kuogea.semister ilopita tumetumia zangu hadi zikakatika zilivyokatika akawa anaazim next room...
Wakuu kuna imani eti popo akiingia ndani kwenu usiku na kuzunguka zunguka juu ya paa ni uchuro?
Kuna jamaa nilienda kwao wiki mbili zilizopita popo akaingia akazunguka ndani kama dakika kumi...
Uliza swali lolote liwe la kiutani au linalohitaji kufikiri.
Then anaweza kutokea mtu akalijibu kwa kina au kifupi..
Uliza chochote iwe kijamii,kiuchumi na kisiasa..
Ambalo unaliona hulielewi...