Hv ni kwanini nyie kila siku huwa hamna nauli!?
Hela zenu mnapeleka wapi!?? Kila siku mnataka mtumiwe nauli, khaa! Mtu yupo Ubungo anataka atumiwe nauli ndio aje Kimara mwisho.
Na ya kutolea
Hiki kitabu nilisoma mwaka 1986 Sisimba Shule ya Msingi.
ilikuwaje sarasa la pili, Mwalimu Benard, mama yake Edmund ndiye alikuwa mwalimu wetu wa darasa, je wewe ulikuwa wapi uliposoma kitabu hiki?
Tumezoea kipindi hicho Hili jiji kwa bata lilikuwa balaa. Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya Starehe Wajuba wanagongea Konyagi au K Vant tu.
Unakuta Bapa moja linapigwa na watu zaidi ya watano...
Brother and sisters habari zenu nimeangalia baadhi ya watu maarufu nimeona wanavaa saa mkono wa kulia mfano Mzee Jakaya. Shafii Dauda. Afande mmoja JWTZ mwenye rank ya Major General kwa wajuzi wa...
Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu..
Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni...
Hi guys,
Naomba m-suggest nyimbo 3 ambazo mnapenda sana. Mimi nitazisikiliza, iwe aina yoyote ile ya wimbo. Vizuri unavipata kwa bahati mbaya.
Mimi zangu ni hizi..
The Go Go's _ Vacation...
JIBU KAMA MME ASIYE NA PESA HATA MIA ..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunakunywa chai na majani [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya twende kazi [emoji116]
Umofia kwenu wadau,
Leo nimetimiza miaka mi3 ndani ya JF,shukrani kwa members wenzangu,mods kwa ushirikiano wenu,sijawahi kula ban ndani ya miaka yote hyo kwani uzi wa Invisible how to use JF upo...
Siwezi kuishi bila wewe sasa.sioni dhumuni la kuishi kwangu bila wewe. Ikiwa nitatenganushwa na wewe nitakuwa nimetenganishwa na nafsi yangu mwenyewe.
Kwa sababu wewe ndiye furaha yangu na...
Truth or Dare is a game. It may be played by all people regardless their age or status.
JUST TAG SOMEONE AND LET HER/HIM CHOOSE TRUTH OR DARE...
Here is the game
When a person chooses Truth He...
Unakuta wewe una pesa nyingi...mke wako naye ana pesa nyingi unamnunulia zawadi ya million nne naye week ijayo anakusurprise na zawadi ya million tatu.It feels so good kwa upande wangu.
Kuwa na...
Kwa wale wazee mliosoma kipindi tunabeba maji, kidumu na mfagio kwenda shule mtakuwa mnakumbuka lile shairi moto na maji wakijibizana kuwa nani ni bora.
Nyie vijana wa siku hizi sijui kama lile...
Nimeskia huu msemo kwenye mwimbo wa professa j...
Zali la mentally, rejea ukauskilize...
Sasa nataka nijue je huu msemo (uchawi hauendi kwa mentally) unamaanisha nini?
Cc Mshana Jr
Greerings earthlings,
Niko najifunza physiology ya mwili wa binadamu.
Assume hujala na hujanywa siku4 jangwani, kipi bora kukutana na katoni la maji ya masafi au katoni la juice za mo passion...
Wakuu habari za mchana,
Hali ilivyo tyt wengine sijui kama mchana tutauwona huo msosii. Ila poa tupambane wakulungaa. Ebana! Leo nataka tujadili hi issue ya boarding skul vs day skul, Ila sio ya...