Naomba kuuliza!!nina marafiki zangu wawili!! Miaka iliyopita walienda kupima ukimwi kwenye haya magari yanayopita mitaani!!! Mmoja baada ya kupimwa alipewa condom bila kuomba?! Huyu mwengine...
Tujaribu kitu hapa. Kama kamchezo flani nahisi mtakapenda baadae
DO YOU ACCEPT THE CHALLENGE?
Kuwe na timu mbili timu moja ichague kiingereza timu nyingine ichague Kiswahili.
Then mtakuwa...
Habari zenu wanaJF.
Leo imetokea nimekumbuka tukio fulani hivi lililonitia aibu kubwa ugenini kila nikifikiria nachekea na kuhuzunika at the same time.
Ili kuwa ni hivi kipindi hicho nimepata...
Asubuhi ya Leo NMB wamecheka hivyo naanzaje maisha kama hivi.
Jamani mm sitaki stress kuanzia Leo mm ni Team Kiduku Lilo
Atakayenionea wivu huyo mchawi maana hapendi mwanamke nijitume niwe na...
Kauli ya Tundu Lissu imenigusa kweli kweli naumia kweli na nawaonea wivu wale ambao wanajua kiingereza wanakicharaza Kama charahani inavyoshona.
Huku sisi wengine wa kayumba tunapata tabu...
Kwanini pombe huwa zina harufu kali na ladha ya uchungu? Kwanini ile harufu kali husaidia nini kwenye pombe?
Na ile ladha mbaya na chungu imewekwa ili iweje? Au ndio inaongeza nguvu za kiumeni?
Poleni na majukumu wakuu
Leo nimeona nisheenanyi njia za uhakika ambazo ukizitumia inavotakiwa kwako namba za watoto wazuri itakua sio shida
Fungua goli(office) la huduma za kifedha yaani...
Let's have fun and do it English.
English is somehow interesting and its known as the language of instructions,elites and the business language also.
Just speak out,Joke In English and touch the...
aseeee!
pamoja wengi avatar sio zao, lakini mtu inakua ukiiona tuu unapagawa yani unaona kama labda anafanania vile, kumbe ukute ni furushi tuu halina mpango, ipi kwako inakuvutia na kukupa...
Wadada wa mjini wana visa sana.Katika watu wenye masharti wakitaka kuolewa ni wadada wa mjini yaani masharti na vigezo Kama waganga.
Wanachagua wanaume kwa wadhifa,makabila,muonekano na...
Hapa nina orodha ya baadhi ya wanaJF na kazi ambazo zinawafiti...
Asprin - mstaafu TRA
Chief - mkwawa (IT)
FaizaFoxy - mstaafu hapo Lumumba.
Kiduku Lilo -
Lucas Mobutu
troublemaker...
Post unachoona ni funny ili kuwaburudisha wengine kwa namna ya utani.
Tofauti ya mwanamke wa kizungu anapokuwa diet na black mamba anapokuwa diet.
Na kila mmoja ametolewa out na boyfriend wake...
1. Kuamulia Ngumi baina ya Mwanaume kwa Mwanaume kwani upo uwezekano Ngumi zao zote zikaishia Usoni Kwako na Kuumuka.
2. Kupatanisha Mgogoro wa Kimapenzi wa ama Wapenzi au Wanandoa kwani wakiwa...
This Is the Super Thread Where the Fans of Politics Meets The Fans Of MMU and lastly The Fans Of Sports and Entertainment...
To come up with ideas and hints from all the three categories
Show...
Natumai hamjambo wakuu,
Karibu kila mmoja wetu hupatiwa jina la utani na familia/jamii inayomzunguka kulingana na tabia/matendo yake, karibuni hapa kushare majina yenu ya utani na sababu ya...