JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
What can u do??
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Habari wana JF, huu ni uzi maalum kwa wale ambao tuliwahi kukumbwa na kadhia ya polisi kama kukimbizwa, kukamatwa, kukamatwa ukizirura, kugoma shule, polisi wakaja kuwapiga virungu na harakati...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Assume na wewe ni mgombea uraisi Toa sera zako ili Watu Uwahamasishe wakuchague... NB.Thread hii sio ya kukashifu au kuchochea chuki upande wowote ule Mimi ningekuwa mgombea uraisi Ningeanza...
0 Reactions
2 Replies
426 Views
Maisha yetu hupitia mengi ya maana na vituko ndani yake,tunaweza kushea vituko vya ugomvi tulivyopitia huko tulipotoka.. Binafsi mara ya mwisho kupigana ni enzi za ukindakinda huko japo si mtu wa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari Wana bodi. Kama ilivyo kawaida ya jamvi letu halikosi msaada wa Hali na hata Mali pia kma utahitahiji, Niende kwenye mada moja moja. Miaka ya 2013,14-'15 maeneo ya Vijana kinondoni bar na...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu habar za masiku. Mko poa, nimewamiss sna. Twende kwenye point Je famii forom imekusaidia nn tangu uijue, ni ukweli usiopingika hakuna social network ambayo inapendwa na inayotizamwa na watu...
2 Reactions
106 Replies
5K Views
Wakuu msinulize maswali ila namtafuta. Toka 2018 mpaka mwanzo wa 2019 mwezi wa tatu hivi Kumbuka tulikutana kwenye daladala unatoka chuo watu tumebanana kwenye daladala ila kimuonekano kama...
10 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari JF! Ni kawaida kila mwaka au miezi kadhaa majarida kama forbes kutoa top ya matajiri na kiasi au thamani ya utajiri wao duniani. Kila mtu ana kile kiasi na mali anazomiliki iwe biashara...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Mfano jana ilikuwa jumanne ukala, ukashiba na ukalala vizuri. Leo jumatano saa 12 asubuhi umeamka unapewa amri uchague kukosa kitu kimoja kati ya hivi. 1.Usile chochote kuanzia saa 12 asubuhi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwenzenu nipo ukanda fulani hivi hapa Tanzania yaani baridi sio baridi, shuka kama ndiyo limetoka kufuliwa. Sms notification hakuna hata ya kusema "baby umelala"? Nimeamua nije tupige soga humu...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
MUNGU alivyoumba viumbe vyote alisema tazama vyote ni vyema Tena ni vyakupendeza. Swali la kujiuliza kwa Nini walefu wanaheshimika kuliko sisi wafupi , bila hata ya kujieleza kabisa watu walefu...
4 Reactions
74 Replies
8K Views
Mzuka Wanajamvi! Kuna mbeba boksi hapa kamiliki Jeep Gladiator yani fujo jamaa katoka west Africa. Nikimaanisha fujo ni zaidi ya fujo na ulimbukeni. Jamaa kapitiliza showoff ambapo ni jambo la...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona wadada zaidi ya wanne wamevaa hzo chupi (tembelea ufukweni). Sasa najiuliza hyo mifuko ni mapambo tu au utaweza kuhifadhi kitu? Na ukitaka kutoa utatoaje mbele za watu? Nielewesheni jamani
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Wakuu habari za asubuhi Leo ijumaa nmeondoka Dar asubuhi hii naelekea singida japo hapo Mimi ni mgeni nilifika maramoja tu 2017 na ilikuwa usiku nikalala na asubuhi nikaondoka hivyo basi safari...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Numeota Kishindo Cha TAL kimetikisa kunako na mwezi huu ni mtam balaa mwezi huu ATM Italia ghrrrrrrrrrrrrrree mpaka ikome kwa kila transaction moja ya mtumishi. Hii ni ndoto lakini kwenye ndoto...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za mdau, wadau wa jukwaa pendwaa, dah! Leo nimeona tupeane vistori vya vituko na matukio ya ghetoni miaka kama kumi ilio pita nilikua Niko chuo falni Uganda bana, Sasa tukawa tunakaa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Hello Wana JF! Mziwanda wenu hapa Kipenseli kama Mtanzania wa Mwisho Kabisa hapa ulimwenguni Sina jambo kubwaaaaa ila kuna kijijambo tu fulani nataka tushirikishane kwenye majibu Wanesemaga...
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Ulizeni chochote kuhusu Mimi,nacho hitaji ni ushirikiano na ukarimu wenu Kama mwanzo ili tuweze kufanikiwa malengo yetu Kama awali. Ahsanteni sana[emoji120].
0 Reactions
4 Replies
650 Views
Wana zengo habari zenu? Natumai mko poaaa Kutokana na uzoefu niliokuwa nao kuhusu tabia za watu, leo hii napenda kukutaarifu, ni namna gani ulaji wako wa samaki unayoakisi tabia yako...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom