Kama nilivyoandika juu kwenye title wana jamvi.
Najua wengi tumepita kwenye hii kuchart kwenye simu mnaitana chumbani Mara unasema uko mlangoni njoo fungua milolongo mingi.
Je, hii namna...
Habari wanajukwaa,
Natumaini mko salama kiafya, kimwili mpaka kifikra lengo la uzi huu ni kutiana moyo pia kufarijiana kwa sisi wenye kimo kidogo kuliko wengine (wafupi) kwa upande wangu huwa...
Hali hizo zote tajwa hapo juu,
Hazisababishwi na mdudu wa aina yeyote wala kuambukizwa na mtu.
Bali hutokana na mfumo wa kimaisha ndio hupelekea hali kama hizo kutokea.
Tiba yake ina mambo...
The World is Not Fair.Dunia haina huruma au haina usawa.Hivi ni viujinga na vioja vya kidunia ambavyo watu wananiaminisha kuwa dunia haina usawa wala huruma.
1. Mwanamke akivaa nguo za kivulana...
Hello JF members.
The world is full of intellects and people having different talents,occupations and specifications.
We all understand that nobody does everything.
But Sometimes you wish you'd...
Nyani Na Kima Wanaweza Kufurahi Sana Wakisikia Yule Binadamu Aliyekua Anawafukuza Kwenye Shamba La Mahindi #KAFARIKI.
Furaha Yao Itakua Ya Muda Maana Misimu Itakayofuata Itakua Ya Tabu Sababu...
Good morning JF!
Bado huna ajira. Una siku ya pili huna hata mia mbovu tangu Jumapili. Muda wa kodi umefika unadaiwa. Asubuhi ya leo ni simu kutoka kwa mama yako huko kwenu ndio inakuamsha...
Waswahili walisema “mjinga wakati wa kwenda”
Basi bhana, kipindi hicho ndo naingia mjini kutokea uswekeni kwetu ndani ndani huko. Nikafikia kwa jamaa wa kijijini kwetu 'aliyetusua' kiaina ikiwa...
Kuna jamaa eti ameniambia asilimia za maongezi ya watanzania ziko hivi.
1.Siasa wanaziongelea asilimia 30%
2.Mpira wanauongelea asilimia 50%
3.Muziki na Burudani asilimia 20%
4.Babes na magashi...
Wapendwa kwa Huruma ya Mungu leo tumetimiza siku ya 254, tumebakiwa na siku 112 tumalize mwaka 2020
Tumuombe Mungu atulinde usiku huu atuepushe na wachawi, vibaka, wezi na mapepo tukiongozwa na...
Dah aisee huwezi amini yaani sasa hivi tu ilikua asubuhi kukakucha sa hivi nacheki saa ni saa tisa kasoro mchana
Mpendwa Mteja unakumbushwa kurejesha kiwango cha ziada cha SONGESHA ulichopewa...
Usilazimishe mtu unayempenda abadilike hilo haliko ndani ya uwezo wako ila lipo ndani ya uwezo wake, wewe una mamlaka ya kuanza kubadilika na
1. Kuwa mtu sahihi
2. Kuchagua mtu sahihi,
3...
Tubonge kiingereza kidogo basi sio kila siku Kiswahili bana. Kama unajua kiingereza. Tena wanasema kiingereza ndo chepesi kama Maji ya kutiririka.
Ndio lugha ya kielimu hakuna asiyeijua
Baada ya kuchagua mchepuo wa HKL pale A level sikuwahi kabisa kuwaza kuwa nitakuja kuvaa barakoa kama wale jamaa wa PCB. Lakini mwaka huu nimeivaa bila kupenda nikakumbuka wahenga kuwa "hujafa...
Ushawahi kufanya mtihani halafu msimamizi akasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza JAMAN HAKIKISHEN MNASOMA VIZUR MASWALI
Hello JF users.
Huwa nafikiria sana kuhusu background yangu na navuta picha Ila nachoambulia ni tarehe ya kuzaliwa tu..
Yaani kiufupi matukio niliyowahi kuyafanya nikiwa mdogo huwa siyakumbuki...
Jamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...
Ulivaa shati la dark blue lina white stripes kwa mbaali, simu uliweka mfuko wa shati, ukapakatia begi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.