Hello wanajamvi
Naomba ushauri kwenye hili: Nipo kwenye malezi ya mtoto wa miezi 14, kwa bahati mbaya huyu mtoto amekuwa akitumia diapers (pampers) tangu kuzaliwa kwake hadi hivi sasa.
Kwa muda...
Eti wakuu kwa wanaofahamu Mbagala kuna sehemu inaitwa Mbagala rangi tatu hivi huwa najiuliza ni rangi gani na gani? iyo Mbagala rangi tatu? nisaidieni bandugu......
Hivi ni vitu gani vya kipuuzi ambavyo watu hufanya kwenye mahusiano? Na ni kitu gani wewe ulishawahi kufanya kwenye mahusiano kwa kukusudia ama kwa kutokusudia ambacho hutokisahau?
Habari wana jamvi?
Hivi jamani mmeona laana iliopo Badoo?Yaani mimi nlijua ni app ya kawaida ya kusocialize lakini daaaah[emoji15] salaaaaaleh[emoji86] .
Nilijiunga ikaja option kua nataka kuchat...
Kuna kesi moja ilikwenda Mahakama ya Mwanzo huko Tanga. Kijana wa miaka 20 alikuwa anataka kupewa mgao wake wa mali za marehemu baba yake.
Ni kweli alikuwa na mgao wake, ila mjane wa marehemu...
Unajua maisha kila mtu ana ndoto za udogoni/ujanani.
Kwa mfano mimi nilipokuwa mdogo nilitaka kuwa mwanajeshi baada ya kuangalia movie ya Rambo[emoji1787][emoji1787]
Juzi wakati npo kanisani pastor ndipo akaja baada ya kuniona nmeshika simu yangu kisha akaniuliza nmenunua shillingi ngapi ndipo nikadanganya kwa kusema shillingi elfu hamsini wakati dukani ni...
Everyone has ever fallen in love. But we actually remember our first love story and First time to approach or to be approached.
How did you manage to tackle your fellow,was it through exchanging...
Love has thousands of definition and people define it in different ways
Would be in for
A game of defining love?
According to me.
Love is care and Testimony
Can you go on!!
Unaweza kusema...
Hakuna kitu kinauma kulala Gest mwenyeji bila mwanamke nikama umetupa hela bure. Yaani vile umechelewa kazini alafu umesahahu funguo kazini alafu ni mbali au umepanga chumbani unarudi usiku mwenye...
Eti wana JF eti majina ya wadada wakati mwingine yanasadifu yaliyomo..
Wadada warembo huwa na majina simple na ya kinyumbani mfano
Neema, Maria, Latifah, Pendo.
Huwa wapole na wanyenyekevu.
Ila...
Wanaume wa Dsm sasa mmezidi. Inakuwaje mwanaume mzima na midevu yako unatumia neno 'mwaya'?
Utasikia..
Haya mwaya!
Ndiyo mwaya!
Twende mwaya!
Niambie mwaya!
Nini maana ya neno mwaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.