JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siku za hivi karibuni yameibuka matukio makubwa ya kibaguzi duniani ikiwemo lile la kuuawa Mmarekani mweusi George Floyd. George Floyd alikufa kwa kukosa hewa alipobanwa shingoni na mapolisi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu kuna uzi jinsi gani ulianza kuishi ghetto humu. Umenivutia nimeona nichukue room nione maisha yakoje ombi langu kama kuna dalali pande za Ubungo, Kimara na Mwenge anisaidie nipate chumba...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Wakuu habarini za asubuhi, kwema mko poa. Leo niko mkoani Mbeya kata ya Madibira kuna sehemu panaitwa chalisuka nimekuja kutembea nikaribisheni jamani niko huku jamani leo nimekuja kutembea one...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili game la wanasiasa ni kama kamchezo fulani cha kuumia roho tu. wao wapo kwenye movie sisi mashabiki tunaumia huku.mwisho wa siku utaweza kuchangachikiwa maisha yenyewe mafupi haya Hadi weekend...
1 Reactions
4 Replies
604 Views
Yaani mpka asa sijaelewa. 1:. Mwanaume unaogea sabuni inaitwa RUNGU. Halafu unaipitisha makalioni ili iweje ? 2: Mwanaume unapaka makalioni ili ugundue ninj? Umuoneshe nani? 3: Unanawa mikono...
2 Reactions
5 Replies
580 Views
Heshima kwenu wanajukwaa, Jana, wakati tunakumbuka tukio la kigaidi la kule nchini Marekani nikajikuta naingia katika vitabu vya historia kwa namna yake. 1. Nilikua na trade FX, nikajikuta...
0 Reactions
12 Replies
842 Views
Watanzania wengi sana wanaumwa huu mwezi nadhani ni kwa sababu ya hali ya hewa.hakuna mwanafamilia ambaye hajashikwa na mafua, kikohozi, bawasili, UTI, Tumbo, homa, kuongea mwenyewe barabarani...
12 Reactions
75 Replies
4K Views
Oneni mwenzenu hapo. Alionywa atumie njia nyingine akawa mbishi.
0 Reactions
5 Replies
707 Views
Nipo Singida leo. Ni hilo tu usichukie,kama kuna mwenyeji naomba ajitokeze japo niufahamu mji wa Wanyaturu.
1 Reactions
72 Replies
9K Views
If You like Quotes and Other such kinds of Things let's Be Here For It.. U can see who invented something.. Did You Know And Such Kind Of Things?
1 Reactions
1 Replies
377 Views
Check this; So Last week nlkuwa club fulani hapa town Sasa nlkuwa na masela zangu tunakula good times and whatnot, Sasa kama kawa madem wengi walkuwa ni malaya ila kwenye mishale ya saa 9 ivi...
3 Reactions
66 Replies
3K Views
Wasalaam wanajf ,nikitambo kidogo kimepita bila ya kuwemo humu basi natumai mu wazima wote. Leo nikiwa mjini bana kuna katukio kamenifurahisha na kuniacha mdomo wazi kwa kweli. Nimewakuta vijana...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Dah!Ni muda sasa tangu nikiwa shule mpaka sasa. Kwa wakati ule nilipata memories nyingi za kukumbuka kwasababu nilikuwa nasoma mixture school. Nakumbuka moja ya faida niliyopata kusoma mixture...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Wakuu swali linajieleza. Naomba kujua eneo moto moto kwa nyama choma .
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu, mimi huwa napotezewa muda na kuchagua mlio wa sauti pindi ninunuapo simu mpya. Kiukweli napotezaga muda kuchagua Wewe nini kinakupotezeaga muda?
0 Reactions
11 Replies
763 Views
WanaJAMII naomba mnipe hongera, Leo nimemaliza mafunzo ya kuendesha gari salama salimini, nimejifunza vitu vingi sana, ikiwemo: kuingiza na kubadili gear! kukanyaga mafuta! kunyoosha sterling...
3 Reactions
61 Replies
14K Views
Tanzania kuna majiji mengi ikiwemo Dar Es Salaam kinara wao. Jinsi. Ukiachana na Dar sehemu mahali kwingine huitwa Mikoani Mfano: Tabora, Shinyanga, Singida, Mara. Hapa kuna utani juu ya maisha...
0 Reactions
3 Replies
545 Views
Leo mbona JF imetulia sana yaani toka asubuhi sijaona thread mpya na wala sioni comments kwenye thread nilizosubscribe... Kumbe kuna maisha nje Ya JF. Kuna watu wanasolve Kesi za ndoa.. Wengine...
0 Reactions
8 Replies
515 Views
Huyu mzee amejitahidi kutoa somo kwa CCM juu ya kuwatumia wanafunzi kuongeza vichwa kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa kama wale wenye ma-PhD wanashindwa kuelewa hiyo sheria...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna jamaa alitoka Arusha kwenda nairobi na gari yake. Sasa akawa amepark sehemu ili akaulizie hoteli na aliporudi akakuta gari haipo! Katika kuchanganyikiwa jamaa akampigia simu rafiki yake wa...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Back
Top Bottom